Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Uyo unayemuona ni mgumu kwako anakwenda kukalishwa na mziki wa Yanga mnaujua vizuri isipokuwa mnajitoaga ufahamu lakini mtakubali mtake msitakeMkipata hata on target nawashauri mfanye parade
Sibishani na mtu ambaye timu yake imefungwa na Ihefu waliofukuza kochaUyo unayemuona ni mgumu kwako anakwenda kukalishwa na mziki wa yanga mnaujua vizuri isipokuwa mnajitoaga ufahamu lakini mtakubali mtake msitake
Isipokuwa unabishana na mtu anayeruhusu goli Kila mechi aijalisha ni mechi ganiSibishani na mtu ambaye timu yake imefungwa na Ihefu waliofukuza kocha
Hongereni wataalam wa kuhamisha goli!!Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamika kuchezwa nyumbani na ugenini.
Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.
Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.
Subirini.
Heee! Kwani Yanga na Al Ahly watakutaka katika mechi za mtoano kwenye mashindano gani? Kweli kitu usichokizoea kitakuumbua tu tena ukweni.Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.
Kumtoa kwenda wapi yaani, unajua mpira au unaandika tuHiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.
Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.
Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.
Subirini.
Sahihi kabisa mkuuHiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.
Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.
Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.
Subirini.
Mnajitafutia maradhi yasiyotibika bure ndugu zetuHiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.
Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.
Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.
Subirini.
Mziki wa Kucheza na Zalan, Wajibout na hao wakimbizi merreikh wa Sudan.Uyo unayemuona ni mgumu kwako anakwenda kukalishwa na mziki wa Yanga mnaujua vizuri isipokuwa mnajitoaga ufahamu lakini mtakubali mtake msitake
NakaziaUnaota kabla hujalala
Halafu anaongoza ligi.Isipokuwa unabishana na mtu anayeruhusu goli Kila mechi aijalisha ni mechi gani
Yanga iko kundi moja na Al Ahly kwa Cafcl.Heee! Kwani Yanga na Al Ahly watakutaka katika mechi za mtoano kwenye mashindano gani? Kweli kitu usichokizoea kitakuumbua tu tena ukweni.
"Sisi ni mazuzu ukiondoa wawili tu" - Manara, Msemaji wa Klabu ya Yanga
"Mashabiki wa Yanga ni mambumbumbu, hawajui mpira. - Wanapiga Makelele kama nyani au mbwa akibweka" - Luc Eymael, Kocha wa Yanga
Akielewa niite snoop Dog!AFL na CAFCL ni michuano tofauti wewe Utopolo.
Simba yupo mtoano AFL, Yanga atakua group stage CAFCL, upo!?
Michuano aliyopo Simba AFL Yanga ammo ila michuano ya CAFCL Simba yumo. sijui umeelewa mwana Uto?
Mkuu simba ni mtoano ,Yanga na Al Ahly ni makundi sasa Yanga atamtoaje wakati kwenye makundi wanaangaliwa wenye points nyingiHiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.
Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.
Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.
Subirini.
😂😅Akielewa niite snoop Dog!