AL Ahly ataitoa Simba kwenye AFL Yanga atalipiza kwa kuitoa AL Alhy kwenye CAFCL

Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.

Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.

Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.

Subirini.
Yanga hii ianyoenda kuwa ya mwisho kwenye kundi 🤣🤣🤣🤣
 
Nyinyi na ubovu wenu mmepata mawili. Sisi wale tutabonda kwa mkapa tukienda kwao ndio wataamua wenyewe. Ila nakuhakikishia kuna mwarabu mmoja kati ya wale wawili anaenda kufa kwake dhidi ya Yanga
Tulikutungua ww afu unatuialta wabovum al ahly sio kina zalan wewe utakandwa mpaka ukija kustuka unaburuza mkia kwenye kundi
 
Mnajitafutia maradhi yasiyotibika bure ndugu zetu View attachment 2788063

Screenshot_20231021-144325.png
 
Nyinyi na ubovu wenu mmepata mawili. Sisi wale tutabonda kwa mkapa tukienda kwao ndio wataamua wenyewe. Ila nakuhakikishia kuna mwarabu mmoja kati ya wale wawili anaenda kufa kwake dhidi ya Yanga
Umefungwa na Ihefu ukamfunge Al Ahly unaota?
 
Kwa hiyo kufungwa na timu fulani ndio sababu nisiifunge timu fulani? Are you normal!!
Tatizo sio kufungwa na timu fulani

Hiyo timu fulani iliyokufunga ni kibonde halafu unaweka mategemeo ya kumfunga Big fish kama Al Ahly huo si utani huo?
 
Mkuu wewe hujawahi kufungwa na kibonde yoyote? Refer Mashujaa na Green Warriors halafu angalia sahivi unazungumza nini
 
Na simba nae atalipiza kisasi kwa kumtoa yanga kwenye ligi kuu bara..

Au labda niache may be simba hayawahusu kulipiza kisasi
 
Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.

Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.

Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.

Subirini.
Nakwenye tabiri zako haujawai kufeli...... nakukubali kwenye hilo.
 
Mkipata hata on target nawashauri mfanye parade
Tatizo kipindi Nadir harub " Canavaro" anawafanya kitu mbaya hao Al-ahal, ulikua bado ni mtoto mdogo, sikulaumu kwenye hilo.
 
Hiki ndio kinakwenda kutokea michezo hiyo ikikamilika kuchezwa nyumbani na ugenini.

Simba atatolewa, kisha Yanga atakuja kumtoa AL Ahly.

Yanga atashinda mchezo mmoja nyumbani au ugenini, na katika matokeo ya jumla, atakuwa na magoli mengi kuliko Waarabu.

Subirini.
Unajua hayo mashindano yanaendeshwaje? Hapo kuna mtoano na makundi, hebu kapitia notsi tena ndio urudi.
 
Back
Top Bottom