mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Uzi huu utakuwa ni maalumu kwa wale wote wenye mapenzi mema na timu hii kutoka MISRI[emoji1093]
Ikumbukwe kuwa hii ndio timu yenye mafanikio zaidi kuliko timu zote barani Afrika
Hapo Ijumaa (kesho) tuna jambo letu hapo nchini Tanzania. Kile kipigo tulichotoa kipindi kile cha hamsa ( Goli tano) ilikuwa ni trailer tu, picha kamili litaanzia kesho hapo kwa mkapa. Tutawakun'guta vilivyo kuliko tulivyowafanya Mwaka 2019.
Jeshi Zima la wapambanaji kutoka kwa Farao tayari limeshatua kutoa darasa kwa hawa pira papatu papatu wa bongo.
Karibuni waarabu wenzangu.