Al Ahly Fans Tukutane Hapa

Al Ahly Fans Tukutane Hapa

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Uzi huu utakuwa ni maalumu kwa wale wote wenye mapenzi mema na timu hii kutoka MISRI[emoji1093]
Ikumbukwe kuwa hii ndio timu yenye mafanikio zaidi kuliko timu zote barani Afrika

Hapo Ijumaa (kesho) tuna jambo letu hapo nchini Tanzania. Kile kipigo tulichotoa kipindi kile cha hamsa ( Goli tano) ilikuwa ni trailer tu, picha kamili litaanzia kesho hapo kwa mkapa. Tutawakun'guta vilivyo kuliko tulivyowafanya Mwaka 2019.

Jeshi Zima la wapambanaji kutoka kwa Farao tayari limeshatua kutoa darasa kwa hawa pira papatu papatu wa bongo.

Karibuni waarabu wenzangu.

GDKSHT3HUJPZTHPTI3HCQTPXQA.jpg
 
Halafu siku mkikutana nao utakuwa timu gani..huo mwiko huko nyuma unawatoa akili sana
 
Mpk siku ya kesho hujui ni lini?.endelea kuweweseka... [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Wanaweweseka wanasahau huyo Al Ahly wapo naye kundi moja club bingwa,huo ushabiki waendeleze hivo hivo
 
في اللغة العربية:

Tumeshafika Tanzania.....tunaomba muendelee kutupa support kuwakanda makolo Wana mudi

نحن نادي الأهلي قد دخلنا تنزانيا...

نحن نرجو منكم أن تستمروا في دعمنا.
 
Uzi huu utakuwa ni maalumu kwa wale wote wenye mapenzi mema na timu hii kutoka MISRI[emoji1093]
Ikumbukwe kuwa hii ndio timu yenye mafanikio zaidi kuliko timu zote barani Afrika

Hapo Ijumaa (kesho) tuna jambo letu hapo nchini Tanzania [emoji1241].
Kile kipigo tulichotoa kipindi kile cha hamsa ( Goli tano) ilikuwa ni trailer tu, picha kamili litaanzia kesho hapo kwa mkapa.
Tutawakun'guta vilivyo kuliko tulivyowafanya Mwaka 2019.

Jeshi Zima la wapambanaji kutoka kwa Farao tayari limeshatua kutoa darasa kwa hawa pira papatu papatu wa bongo.

Karibuni waarabu wenzangu ...........View attachment 2786452
JamiiForums-332531034.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
IMG_8024.jpeg


Ilikuwa timu ya mashabiki wasio na Elimu.

Mashabiki WAPUMBAVU na WAJINGA.

Mashabiki Wasioenda shule.
 
Back
Top Bottom