DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
💪🏽
Kama waliambizana vile hahhaaa 😃💪🏽
Al ahly na yanga, robo fainali
Belouzdad na medeama wameaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeYaani kwa kifupi unaweza kusema..
ni mfanano Wa Aibu....!
Robo finalTupe na msimamo wa kundi
Ni timu ipi na ipi zimeingia robo fainali labda ungeliweka na hili tukichangia tuchangie yote kwa pamoja
Ahly na yanga babuNi timu ipi na ipi zimeingia robo fainali labda ungeliweka na hili tukichangia tuchangie yote kwa pamoja
AmiynNamuomba Mungu timu za Bongo weekend hii zifungwe zote