DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
AiseeYaani kwa kifupi unaweza kusema..
ni mfanano Wa Aibu....!
Robo finalTupe na msimamo wa kundi
Ni timu ipi na ipi zimeingia robo fainali labda ungeliweka na hili tukichangia tuchangie yote kwa pamojaView attachment 2921783
πͺπ½
View attachment 2921784
Kama waliambizana vile hahhaaa ππͺπ½
Ahly na yanga babuNi timu ipi na ipi zimeingia robo fainali labda ungeliweka na hili tukichangia tuchangie yote kwa pamoja
AmiynNamuomba Mungu timu za Bongo weekend hii zifungwe zote