magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Leo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅
Wanasherehekea kuzaliwa kwa Masihi Yesu Kristo kwa mujibu wa Kalenda yao ya Orthodox!
Ethiopia Kalenda yao kwa sasa ni mwaka 2017 na wao mwaka wao huwa na miezi 12 yenye siku 30 ila kuna ziada ya siku 5-6 hivyo hata mwaka mpya wao walishasherehekea Septemba 11 mwaka jana😄
Nakutakieni kheri nyote mnaoadhimisha Krismasi siku hii na iwe kheri kwao!
Source : Nazareth Upete Facebook Page