Al Ahly SC yawatakia Merry Christmas Waumini wa Kanisa la Coptic huko Misri

Al Ahly SC yawatakia Merry Christmas Waumini wa Kanisa la Coptic huko Misri

Yesu,yasu, Jesus,jezii,yahshua,moses,musa, avraham, abraham, ibrahim...hakuna kitabu kinachojua yesu alizaliwa lini,ukiitafuta tarehe 25 disemba kwenye biblia utakuta ni siku ya kuachia huru wafungwa
Isa alizaliwa lini?
 
Anapigania kwa njia gani? Hao watoto wanaokufa wanahusikaje na huo mgogoro?
samahani sikusudii kuingilia kati mdahalo wenu, ila kwa faida ya asiye uelewa uislamu ni kwamba, hata uislamu unapinga vikali njia zinazotumiwa na hamas unless wakidai kwamba wanapigania nchi yao tu, na kama watadai kupigania dini wako wrong 100% that's why hakuna hata mwanazuoni mmoja anaetegemewa kwa zama hizi anaewasupport
 
Wamisri wameshamhost Yesu hivyo hawana tatizo nae.
 
Isa alizaliwa lini?
Hakuna aliyeweka rekodi,ila kwa wanaojua majira ya eneo liitwalo israel leo,wanadai ni mid-summer kwa kuchanganya tende zilizoiva kama isemavyo Quran na wachungaji waliochunga usiku siku aliyozaliwa yesu kama isemavyo biblia
 
Mkuu mi nimefanya tu kuchombeza, Hata hivyo waislam wa misri hawana shida na ukristo. Isipokuwa Kuna baadhi ya viongozi wa hizi movement za kidini. Kilaraheri katika kusherehekea Christmas yao
Wakristo walikuwa wanawashangaa waislam kwa sikukuu ya EID kupishana ila kwenye Christmas hawashangai wanaona sawa tu.
 
Back
Top Bottom