Al Ahly SC yawatakia Merry Christmas Waumini wa Kanisa la Coptic huko Misri

Orthodox wako wengi tofauti.

Mimi nilikuwa na demu mmoja mu Armenia kama Kim Kardashian nilikuwa naenda naye Armenian Orthodox Church.

Hapo ndipo nilipoifuatilia sana Christmas yao ya January 7.
Dah hii nchi natamani nifike siku moja ina historia kabambe sana kuanzia utawala wa ottoman 🤔
 
Umesoma nilichokiandika na wewe kama mtu makini humu umelinganisha na ulicho andika?
Mkuu mi nimefanya tu kuchombeza, Hata hivyo waislam wa misri hawana shida na ukristo. Isipokuwa Kuna baadhi ya viongozi wa hizi movement za kidini. Kilaraheri katika kusherehekea Christmas yao
 
Kitu nimegundua waislamu wamewazidi mbali mno wakristo 😆😆😆😆
 
Orthodox wako wengi tofauti.

Mimi nilikuwa na demu mmoja mu Armenia kama Kim Kardashian nilikuwa naenda naye Armenian Orthodox Church.

Hapo ndipo nilipoifuatilia sana Christmas yao ya January 7.
Yaani ukachanganywa na mbunye na viuno vya ki-armenia hadi ukarudi kanisani!?..ama kweli korodani hazina maana!!
 
Mimi kwetu kanisani pande zote kwa baba na mama.

Nilikuwa naongeza makanisa niliyoyapitia tu.
 
Malaria 2 atasema ni makosa kuwa wish manaswara sikuku yao ya kuzaliwa Yesu al Masih
Qur'an mbona iko wazi sana,sema waislam wameiacha na kufuata maneno yanayodaiwa kuwa ya mtume (hadith)wakati siyo,'mkiabudu punda,nitawaletea majani'
 
Mimi kwetu kanisani pande zote kwa baba na mama.

Nilikuwa naongeza makanisa niliyoyapitia tu.
Ah so kweli mkuu,ulipagawa.. anyways,nichane 'utamu' wa mu-armenia ili walau nivute picha huku ishagenhe majarubani shinyanga,baadae nichukue sheria mkononi
 
Wewe nakujua huna maana unaweza kudai Mu Armenia mwenyewe uliyenipagawisha ni wewe mwenyewe.
 
Qur'an mbona iko wazi sana,sema waislam wameiacha na kufuata maneno yanayodaiwa kuwa ya mtume (hadith)wakati siyo,'mkiabudu punda,nitawaletea majani'
Hiyo hamjui Yesu Al Masih inamjua Isa na haijui alizaliwa lini
 
Yesu,yasu, Jesus,jezii,yahshua,moses,musa, avraham, abraham, ibrahim...hakuna kitabu kinachojua yesu alizaliwa lini,ukiitafuta tarehe 25 disemba kwenye biblia utakuta ni siku ya kuachia huru wafungwa
 
Na huu ni uthibitisho tosha kuwa unaweza kushirikiana na watu wa imani nyingine hakuondoi Uislamu wako.

Tupendane ndugu zangu.
Kabisa la Coptic pale Misri siyo dogo ndugu, mamia ya waumini wamejaa. Asilimia zaidi ya kumi ya wamisri ni wakiristo.
 
Yeah natambua hilo. Hata Zanzibar asilimia 90 ni Waislamu.
 
Back
Top Bottom