Mimi binafsi naona wakristo ndio sio waungwana kwa wa asilimia kubwa , tofauti na waislamu kabisa.Kuna baadhi ya Kobazi ni waungwana sana, Yesu awabariki
Jinsi mnavyochukulia ukatili wa Israel dhidi ya palestina huwa nawaona vichwa panzi sana.Unaweza ukaprove?
ni kama yule kobazi wa liverpool hutuma salamu za krismasi kila mwaka kwa mashabiki zake ila kobazi wakorofi hummaindi sanaKuna baadhi ya Kobazi ni waungwana sana, Yesu awabariki
Ulisoma comments za baadhi ya ndugu zetu wa upande wa pili baada ya shambulizi la Hamas la Oktoba 7 pale Israel likiua wenye hatia na wasio na hatia(wanawake na watoto) na bado unaona Wakristo tu ndio vichwa Panzi?Jinsi mnavyochukulia ukatili wa Israel dhidi ya palestina huwa nawaona vichwa panzi sana.
Palestina anapigania haki yake Israel anapigania dhulma ipo tofauti kubwa hapo.Ulisoma comments za baadhi ya ndugu zetu wa upande wa pili baada ya shambulizi la Hamas la Oktoba 7 pale Israel likiua wenye hatia na wasio na hatia(wanawake na watoto) na bado unaona Wakristo tu ndio vichwa Panzi?
Siku zote huwa nasema ubaya hauna sura, ubaya hauna upande. Ukiamua kukemea ubaya hautakiwi kuchagua upande. Hamas akiua sawa, Israel akiua shetani.
Kama wao wamekaa chini wameona Taifa letu tutalipata kwa kuua Wayaudi wote kwanini iwe tatizo Myaudi akipita njia ile ile ya watu wangu nitawalinda kwa kuua Wapalestina wote?
Ukinijibu hayo maswali nitakubaliana nawe Wakristo ni vichwa panzi.
Pia nakukumbusha, ubaya hauna sura, ubaya hauna upande. Ukiamua kukemea ubaya usiegemee upande.
Kwani Al Ahly ni waislamu au ni timu ya mpira????Na huu ni uthibitisho tosha kuwa unaweza kushirikiana na watu wa imani nyingine hakuondoi Uislamu wako.
Tupendane ndugu zangu.
Njia unaijua, watoto wanakufa unajua pia wanahusika vipi, kwa hiyo sina cha kukujibu kwa kitu kilicho wazi kabisa.Anapigania kwa njia gani? Hao watoto wanaokufa wanahusikaje na huo mgogoro?
Ni nchi yenye tamaduni zakeKwani Zanzibar ni nchi au taasisi ya dini?
NyerereUnaweza ukaprove?
Halafu kuna mashehe ubwabwa hata maka hawapajuia ila wanamponda Mo SalahLeo ni Krismasi huko Ethiopia….! Pia kwa Coptic wa pale Alexandria Misri nao wanasherehekea sikukuu ya Krismasi na wao huifuata kalenda yao maalum…! Kwa Coptic huwa wanaita Alexandrian Calendar✅
Wanasherehekea kuzaliwa kwa Masihi Yesu Kristo kwa mujibu wa Kalenda yao ya Orthodox!
Ethiopia Kalenda yao kwa sasa ni mwaka 2017 na wao mwaka wao huwa na miezi 12 yenye siku 30 ila kuna ziada ya siku 5-6 hivyo hata mwaka mpya wao walishasherehekea Septemba 11 mwaka jana😄
Nakutakieni kheri nyote mnaoadhimisha Krismasi siku hii na iwe kheri kwao!
Source : Nazareth Upete Facebook PageView attachment 3194731
Hawa jamaa hufunga siku hiyo🤔Merry Orthodox Christmas.