Orthodox wako wengi tofauti.Hawa jamaa hufunga siku hiyo🤔
Dah hii nchi natamani nifike siku moja ina historia kabambe sana kuanzia utawala wa ottoman 🤔Orthodox wako wengi tofauti.
Mimi nilikuwa na demu mmoja mu Armenia kama Kim Kardashian nilikuwa naenda naye Armenian Orthodox Church.
Hapo ndipo nilipoifuatilia sana Christmas yao ya January 7.
Historia kubwa na ndefu sana.Dah hii nchi natamani nifike siku moja ina historia kabambe sana kuanzia utawala wa ottoman 🤔
ila kutokemea wazanzibar wanavyowatendea wasio waislamu wakati wa ramadhani wewe unaona sawa tuJinsi mnavyochukulia ukatili wa Israel dhidi ya palestina huwa nawaona vichwa panzi sana.
Wanawatendea vipi ? Ebu elezea kwa undaniila kutokemea wazanzibar wanavyowatendea wasio waislamu wakati wa ramadhani wewe unaona sawa tu
Kwani waisrael ni wakristo? Wanaua wakristo na waislam ,wamebomoa makanisa na misikitiJinsi mnavyochukulia ukatili wa Israel dhidi ya palestina huwa nawaona vichwa panzi sana.
Umesoma nilichokiandika na wewe kama mtu makini humu umelinganisha na ulicho andika?Kwani waisrael ni wakristo? Wanaua wakristo na waislam ,wamebomoa makanisa na misikiti
Mkuu mi nimefanya tu kuchombeza, Hata hivyo waislam wa misri hawana shida na ukristo. Isipokuwa Kuna baadhi ya viongozi wa hizi movement za kidini. Kilaraheri katika kusherehekea Christmas yaoUmesoma nilichokiandika na wewe kama mtu makini humu umelinganisha na ulicho andika?
Kitu nimegundua waislamu wamewazidi mbali mno wakristo 😆😆😆😆Mkuu mi nimefanya tu kuchombeza, Hata hivyo waislam wa misri hawana shida na ukristo. Isipokuwa Kuna baadhi ya viongozi wa hizi movement za kidini. Kilaraheri katika kusherehekea Christmas yao
Yaani ukachanganywa na mbunye na viuno vya ki-armenia hadi ukarudi kanisani!?..ama kweli korodani hazina maana!!Orthodox wako wengi tofauti.
Mimi nilikuwa na demu mmoja mu Armenia kama Kim Kardashian nilikuwa naenda naye Armenian Orthodox Church.
Hapo ndipo nilipoifuatilia sana Christmas yao ya January 7.
Mimi kwetu kanisani pande zote kwa baba na mama.Yaani ukachanganywa na mbunye na viuno vya ki-armenia hadi ukarudi kanisani!?..ama kweli korodani hazina maana!!
Qur'an mbona iko wazi sana,sema waislam wameiacha na kufuata maneno yanayodaiwa kuwa ya mtume (hadith)wakati siyo,'mkiabudu punda,nitawaletea majani'Malaria 2 atasema ni makosa kuwa wish manaswara sikuku yao ya kuzaliwa Yesu al Masih
Ah so kweli mkuu,ulipagawa.. anyways,nichane 'utamu' wa mu-armenia ili walau nivute picha huku ishagenhe majarubani shinyanga,baadae nichukue sheria mkononiMimi kwetu kanisani pande zote kwa baba na mama.
Nilikuwa naongeza makanisa niliyoyapitia tu.
Ah so kweli mkuu,ulipagawa.. anyways,nichane 'utamu' wa mu-armenia ili walau nivute picha huku ishagenhe majarubani shinyanga,baadae nichukue sheria mkononi
Hahaha 🤣🤣,sawa bana!Wewe nakujua huna maana unaweza kudai Mu Armenia mwenyewe uliyenipagawisha ni wewe mwenyewe.
Hiyo hamjui Yesu Al Masih inamjua Isa na haijui alizaliwa liniQur'an mbona iko wazi sana,sema waislam wameiacha na kufuata maneno yanayodaiwa kuwa ya mtume (hadith)wakati siyo,'mkiabudu punda,nitawaletea majani'
Yesu,yasu, Jesus,jezii,yahshua,moses,musa, avraham, abraham, ibrahim...hakuna kitabu kinachojua yesu alizaliwa lini,ukiitafuta tarehe 25 disemba kwenye biblia utakuta ni siku ya kuachia huru wafungwaHiyo hamjui Yesu Al Masih inamjua Isa na haijui alizaliwa lini
Kabisa la Coptic pale Misri siyo dogo ndugu, mamia ya waumini wamejaa. Asilimia zaidi ya kumi ya wamisri ni wakiristo.Na huu ni uthibitisho tosha kuwa unaweza kushirikiana na watu wa imani nyingine hakuondoi Uislamu wako.
Tupendane ndugu zangu.