Al ahly Tripoli ni timu tishio sio tu kwa simba bali kwenye michuano yote. Simba isipokuwa makini itasambaratika na migogoro itaanza

Kwahiyo tukifuzu utakubali kwamba tumeitoa timu kubwa na njia yetu haikuwa nyepesi.
 
Mosi kwa Mkapa AAT watapata mashabiki wakutosha maana mashabiki wa yanga wataingia kwa wingi ukizingatia mechi ya yanga itachezwa Zanzibar . Pili kwa standard za mpira wale jamaa wapo perfect kwa mambo mengi. Mwisho sioni Simba hakivuka stage hii ila mpira utapigwa itakuwa moja ya mechi nzuri kuiangalia.
 
Simba wanafuvu kiulaini tena washinda kuanzia gori mbili
 
Njia pekee ya Simba kuwa toast wale AAT ni kuwaroga ipasavyo na ni jambo ambalo Simba wapo vzr
Mwamposa hawezi kuwa na mchango hapa? Yule kiboko ya wachawi angeweza kurahisisha kazi lakini wameisha mtimua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…