Al Ahly vs As Vital live update.

Al Ahly vs As Vital live update.

Yaani kweli kabisa kama si busara za refa jana, angetuletea balaa, yaani hadi Mkude alikuwa akimuelekeza, huyu naomba kabisa asicheze kwenye mechi za Waarabu ugenini kama hatarekebishwa, ataleta majanga na kuingusha timu ambayo iko vzr sana.
Kwenu nyie refa ana busara Ila kwa wenzenu refa anapendelea, kwanini hamsemi kuwa mmependelewa?
 
Kwenu nyie refa ana busara Ila kwa wenzenu refa anapendelea, kwanini hamsemi kuwa mmependelewa?

Miafrika huwa cjui 2namatatizo gani hivi!! Cku zote tukicheza na waarabu wanasema waarabu wanapendelewa mara oh ni watu wa fitina! wakati refa mwenyewe anaechezesha ni mweusi mwenzetu. Binafc Nachoona hapo ni ubaguzi wa rangi dhidi yao na c chochote.
 
Miafrika huwa cjui 2namatatizo gani hivi!! Cku zote tukicheza na waarabu wanasema waarabu wanapendelewa mara oh ni watu wa fitina! wakati kocha mwenyewe anaechezesha ni mweusi mwenzetu. Binafc Nachoona hapo ni ubaguzi wa rangi dhidi yao na c chochote.
Kocha anachezesha?
 
Huyo jamaa mzoee tu. Kama sio mwarabu basi house boy wa mwarabu. We chochote utachosema kuhusu mwarabu anakuita mbaguzi. Sasa fikiria mtu anaomba game iishe sare ye anaita ubaguzi. Hopeless.

Chuki mbaya sana,unajionyesha wazi unawachukia waarabu.pole sana, na ndio maaana life ye2 haiendelei tutabakia kuwa wamasikini tu all the day.

Ushauri wangu, kuwa na roho ya imani.
 
Msimamo wa ACL KUNDI la SIMBA SC hadi leo
 

Attachments

  • simba.jpg
    simba.jpg
    16 KB · Views: 16
Back
Top Bottom