Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

alliJAY4_four

Senior Member
Joined
May 4, 2017
Posts
173
Reaction score
94
Tujadili kuhusu hili... Je, kocha Patric Aussems atapata nafasi ya kurekebisha makosa yaliyojitokeza kwenye mechi dhidi ya As Vita kuelekea mechi ya jumamosi na Al Ahly?
 
Simba inaenda kufungwa...ukweli mchungu, binafsi naona wachezaji wa Simba ndio hawaelewi wanataka nini, hawana hasira na ubingwa, wanachowaza wao ni mishahara minono tu..timu inabebwa na wachezaji wa nje, hawa wa ndani, moshi mwingi
 
Simba inaenda kufungwa...ukweli mchungu, binafsi naona wachezaji wa Simba ndio hawaelewi wanataka nini, hawana hasira na ubingwa, wanachowaza wao ni mishahara minono tu..timu inabebwa na wachezaji wa nje, hawa wa ndani, moshi mwingi
ni kweli kiongozi, tatizo lingine ni kwamba simba wanacheza mpira as if waonekane bora kushinda yanga, hawaja-focus kwenye mashindano as mashindano
 
Tukumbushane rekodi [nzuri] za Simba

*1978:* Simba 1—8 Enyimba
*1980:* Al Ahly 9—0 Simba
*1984:* Petle Atletico de Angola 6—0 Simba
*1989:* Simba 2—8 Solfa ya Gabon
*1991:* Yanga 4 —0 Simba. Simba hawakurudi second half
*1996:* All Hilaly 5—0 Simba
*1999:* Sesco 4—0 Simba
*2005:* Simba 0—4 Enyimba
*2007:* Enyimba 5—0 Simba
*2012:* Liboro de Angola 5—0 Simba
*2019:* As vita 5—0 Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Nahisi tufanye mazoezi ya kuhesabu kiarabu mapema...* [emoji12][emoji12][emoji12]
Moja - wahed
Mbili - Ithnan
Tatu - Thalatha
Nne - Arba
Tano - Khamsa
Sita - Sitta
Saba - Sabah
Nane - Thamaniya
Tisa - Tissah
Kumi - Asharah

Haya ndio maoni yangu
 
Naiona safari ya kurudi ndefu na watafika late at night tumelala…..ila Taifa tutakwenda na HYTAT....Kempisky kuwaona El ahary...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…