Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

Wewe unasema jumamosi saa tatu huyu hapa chini anasema kesho ijumaa.. Mnanivuruga ufahamu mjue?Mkuu huyo wa juu anakupinga..which is which?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kacheki Livescore utakuta ratiba ya kesho. Halafu mbona Safari hii Mikia na Msema hovyo wao mbona awaipambi hii match au washajua kuna shoga anaenda kufa so msiba wake ni kimya kimya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
02/02/2019 ni kesho???tangu lini shabiki la gongowazi a.k.a ombaomba fc likajua ratiba za simba..shabiki la makwasukwasu fc anajua Ratiba ya Yanga na Tukuyu stara tu
Chck fixture iyo livescore, feb 1 2200hrs
Screenshot_20190131-140219.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
02/02/2019 ni kesho???tangu lini shabiki la gongowazi a.k.a ombaomba fc likajua ratiba za simba..shabiki la makwasukwasu fc anajua Ratiba ya Yanga na Tukuyu stara tu

mshabiki feki wewe hujui hata ratiba.. mechi ingekuwa jumamosi simba wasingesafiri jumatatu au jumanne.. mechi ni ijumaa
 
Tukumbushane rekodi [nzuri] za Simba

*1978:* Simba 1—8 Enyimba
*1980:* Al Ahly 9—0 Simba
*1984:* Petle Atletico de Angola 6—0 Simba
*1989:* Simba 2—8 Solfa ya Gabon
*1991:* Yanga 4 —0 Simba. Simba hawakurudi second half
*1996:* All Hilaly 5—0 Simba
*1999:* Sesco 4—0 Simba
*2005:* Simba 0—4 Enyimba
*2007:* Enyimba 5—0 Simba
*2012:* Liboro de Angola 5—0 Simba
*2019:* As vita 5—0 Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona takwimu zako nyingi sio za kweli.
Enyimba ilianza kushiriki caf champions league 2002. Hiyo ya 78 umeitoa wapi?
https://en.m.wikipedia.org/wiki/Enyimba_International_F.C.
Naomba uweke source inayowenyesha simba ikiwa impigwa na enyimba bao 5 kwenye mechi moja.
1980 simba haikucheza na al ahli caf.
Acha kuchukua taarifa bila kufanya uchunguzi.
 
Kesho ndio kesho asemaye kesho kutwa ni muongo.
Mikia jiandaeni kisaikolojia
 
mshabiki feki wewe hujui hata ratiba.. mechi ingekuwa jumamosi simba wasingesafiri jumatatu au jumanne.. mechi ni ijumaa
Wewe ndo mshabiki feki..ratiba ya mechi za simba na michuano yote inayoandaliwa na caf inapatikana kwenye official website ya caf na si huko vichochoroni mlipookota huo utumbo wenu wa ratiba feki
Screenshot_20190131-144455.jpg
na kwa kuongezea tu vipi hapa azam watakuwa wanaonesha marudio
Screenshot_20190131-144019.jpg
 
Back
Top Bottom