Dejavu
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,568
- 3,427
Wewe unasema jumamosi saa tatu huyu hapa chini anasema kesho ijumaa.. Mnanivuruga ufahamu mjue?
Mkuu huyo wa juu anakupinga..which is which?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unasema jumamosi saa tatu huyu hapa chini anasema kesho ijumaa.. Mnanivuruga ufahamu mjue?
Mkuu huyo wa juu anakupinga..which is which?
Tuseme Livescore wanasema uongo?match kesho saa 4 Usiku. Saa moja kamili kesho ni AS Vita Vs JS Saoura
Nenda kacheki Livescore utakuta ratiba ya kesho. Halafu mbona Safari hii Mikia na Msema hovyo wao mbona awaipambi hii match au washajua kuna shoga anaenda kufa so msiba wake ni kimya kimya?Wewe unasema jumamosi saa tatu huyu hapa chini anasema kesho ijumaa.. Mnanivuruga ufahamu mjue?Mkuu huyo wa juu anakupinga..which is which?
Sent using Jamii Forums mobile app
02/02/2019 ni kesho???tangu lini shabiki la gongowazi a.k.a ombaomba fc likajua ratiba za simba..shabiki la makwasukwasu fc anajua Ratiba ya Yanga na Tukuyu stara tu
Tukifungwa sisi yanawahusu nini..nyie pambaneni na hali zenuNenda kacheki Livescore utakuta ratiba ya kesho. Halafu mbona Safari hii Mikia na Msema hovyo wao mbona awaipambi hii match au washajua kuna shoga anaenda kufa so msiba wake ni kimya kimya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes we can imeishia wapi wa Mbumbumbu au Pumbavu FC?Tukifungwa sisi yanawahusu nini..nyie pambaneni na hali zenu
Inakuhusu nini wewe makwasukwasu fc...nenda huko kacheze mechi zako na kina biashara united...eti shabiki la makwasukwasu leo mishipa ya shingo inalisimama bila aibu linabishana kabisa na kujifanya linaijua vizuri ratiba za simba
Simba sio mama yangu wala sio baba yangu
Chck fixture iyo livescore, feb 1 2200hrs02/02/2019 ni kesho???tangu lini shabiki la gongowazi a.k.a ombaomba fc likajua ratiba za simba..shabiki la makwasukwasu fc anajua Ratiba ya Yanga na Tukuyu stara tu
02/02/2019 ni kesho???tangu lini shabiki la gongowazi a.k.a ombaomba fc likajua ratiba za simba..shabiki la makwasukwasu fc anajua Ratiba ya Yanga na Tukuyu stara tu
Mbona takwimu zako nyingi sio za kweli.Tukumbushane rekodi [nzuri] za Simba
*1978:* Simba 1—8 Enyimba
*1980:* Al Ahly 9—0 Simba
*1984:* Petle Atletico de Angola 6—0 Simba
*1989:* Simba 2—8 Solfa ya Gabon
*1991:* Yanga 4 —0 Simba. Simba hawakurudi second half
*1996:* All Hilaly 5—0 Simba
*1999:* Sesco 4—0 Simba
*2005:* Simba 0—4 Enyimba
*2007:* Enyimba 5—0 Simba
*2012:* Liboro de Angola 5—0 Simba
*2019:* As vita 5—0 Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wanasema after two days ndio mechi inachezwa na hii source ndio reliable and accurate kuliko livescore. Hii mechi sijui ina nini au simba hawataki tuione? Ndio maana hawatupi accurate date?
Pumba hii10 bila mtaona simba watafukuza manara kwanza kisha kocha benxhi la ufund fumuuuuua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana nimekwambia nyi vitoto vishabiki uchwara vya gongo wazi tangu lini mkajua ratiba ya mechi za simba..ratiba ya simba utaijua ukiingia kwenye official website ya CAF but si huko vichochoroni kwenu
Wewe ndo mshabiki feki..ratiba ya mechi za simba na michuano yote inayoandaliwa na caf inapatikana kwenye official website ya caf na si huko vichochoroni mlipookota huo utumbo wenu wa ratiba fekimshabiki feki wewe hujui hata ratiba.. mechi ingekuwa jumamosi simba wasingesafiri jumatatu au jumanne.. mechi ni ijumaa
Acha kuweweseka we shabiki la gongowazi...ratiba za simba utazijulia wapi????Kesho ndio kesho asemaye kesho kutwa ni muongo.
Mikia jiandaeni kisaikolojia
relax mkuu haina haja ya kupaniki we jiandae kisaikolojia tu hapo keshoAcha kuweweseka we shabiki la gongowazi...ratiba za simba utazijulia wapi????View attachment 1009469