Al Ahly vs Simba SC, Jumamosi: Nini maoni yako kuhusiana na mtanange huu?

Tumeshapigwa kidude kimoja!!! Beki zetu haziluki kabisa mipira ya kona na iliyokufa
 
Oooh la pili huko mnyama leo tena anapewa kiganja kingine
 
Kama Ban nipigeni tu ila uzalendo umenishinda....Piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiga Mbwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…