Al Ahly ya Egypt yamtambulisha Luis Jose Miqsonne

Al Ahly ya Egypt yamtambulisha Luis Jose Miqsonne

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20210826_181124.jpg


Aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Luis Miquissone Raia wa Msumbiji ametambulishwa rasmi kama Mchezaji wa Al Ahly ya Misri, mitandao mbalimbali imeripoti kwamba Miquissone atakuwa analipwa mshahara kati ya USD 40,000 hadi 50,000 (Tsh Milioni 92 - milioni 115) kwa mwezi.

Kwa kheri Mwamba umeipigania Simba kwa jasho na damu,hauna deni na sisi badala yake sisi unatudai thamani ya fedha ya mabilioni uliyotuingizia
 
Karibu Luis Jangwani kwa mkopo, ukitokea Al- Ahly
Misukule ya Jiesiem sidhani kama mtakuja kupata akili.

Ile kumtambulisha Haji kabla ya J'pili ilikuwa ni njia ya kuzima kushindwa kwa kesi yenu kule CAS. GSM wanajua kuiendesha misukule yao.

Na mwaka huu gundu limeanza.Hamza ameanza kwa kuvuruga utambulisho wa 'matambara' yenu .Mtasema Simba wamemlipa Hamza aharibu 'move' yenu?
 
Back
Top Bottom