Al Ahly ya Egypt yamtambulisha Luis Jose Miqsonne

Al Ahly ya Egypt yamtambulisha Luis Jose Miqsonne

[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1909783
1630005799298.png

Luis ana contract mpaka 2025, hapo kawekewa nembo ya Simba SC bila picha yake, lkn kawekewa bendera ya Nchi yake Msumbiji, Tanzania tunashidiwa wapi?
 
Jaribu kuficha Umbumbumbu wako.
Huwezi kumtambia mtu ambae hata humjui wala hakujui.
unachoandika kinaanika ujinga wako.nimekuuliza unaijua ratiba ya mwaka ya Al Ahl?Anayeweza kufanya hayo mabadiliko na wao au wewe? Nijibu uendelee kujianika
 
unachoandika kinaanika ujinga wako.nimekuuliza unaijua ratiba ya mwaka ya Al Ahl?Anayeweza kufanya hayo mabadiliko na wao au wewe? Nijibu uendelee kujianika
Ujinga ulianza kwahiyo mjinga unamjibu ujinga ajione mwelevu kama wewe
 
View attachment 1909685

Aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Luis Miquissone Raia wa Msumbiji ametambulishwa rasmi kama Mchezaji wa Al Ahly ya Misri, mitandao mbalimbali imeripoti kwamba Miquissone atakuwa analipwa mshahara kati ya USD 40,000 hadi 50,000 (Tsh Milioni 92 - milioni 115) kwa mwezi.

Kwa kheri Mwamba umeipigania Simba kwa jasho na damu,hauna deni na sisi badala yake sisi unatudai thamani ya fedha ya mabilioni uliyotuingizia
Mikisone huko Al Ahly kaenda kusugua benchi. Kiwango chake bado ni kidogo sana kwa timu kubwa kama al Ahly. Ya samata yanajirudia kwake.
 
Mikisone huko Al Ahly kaenda kusugua benchi. Kiwango chake bado ni kidogo sana kwa timu kubwa kama al Ahly. Ya samata yanajirudia kwake.
Akipewa nafasi atapafom, ila akinyimwa atakuwa kama Bwaliya.
 
Mikisone huko Al Ahly kaenda kusugua benchi. Kiwango chake bado ni kidogo sana kwa timu kubwa kama al Ahly. Ya samata yanajirudia kwake.

Aisee Ubinadamu kazi kweli,tayari umeshajua anakwenda kusugua benchi hata hajaanza kucheza.Punguza roho mbaya au ndiyo hasira za kudanganywa analetwa Utopoloni kwa mkopo[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom