Hizo goli kumi Ilishindwa sevilla ndio waje hao vibopa wa farao?
Endeleeni na ramli chonganishi si tunafanya maajabu na kuweka rekodi ambazo itawachukua karne kuja kuzifikia hizi ni rekodi ambazo zitaishi milele, hizo tabiri hazijaanza leo kuna wenzako walisema As vita itatupiga 5 unalipi la kuwaambia watu hao?
Eti kagere na mugalu unawatoa kosa...Sasa si bora uuziwe mbuzi kwenye gunia kuliko kuuziwa gunia lisilo na mbuzi?
Usajili wa kisado na yule kibopa mwingine sijui mnamuitwa nani ana jina gumu kama maisha yangu naye mmeingizwa chaka...anapiga pasi mbovu utafikiri anamiguu yote ya kushoto