Al Ahly yaanza vyema mechi ya hatua ya makundi kwa kuichapa El Merreikh 3-0

Al Ahly yaanza vyema mechi ya hatua ya makundi kwa kuichapa El Merreikh 3-0

Maanake umeshindwa kujibu hoja. Ndio shida ya washabiki mahaba nyie hamjui mpira mnajua mahaba tu na timu
mna kiherehere Simba ndio wanaqcheza mechi nyinyi badala ya kupambana na ya kwenu mnabaki kufatilia Simba, mbeya city mmetoa draw mnabaki mnalialia jitahidini mchukue ubingwa na nyinyi mpate nafasi ya kuhoji haya yanayoendelea ila kwa sasa kaeni kimya hojini mechi zenu na Ihefu au gwambina
 
mna kiherehere Simba ndio wanaqcheza mechi nyinyi badala ya kupambana na ya kwenu mnabaki kufatilia Simba, mbeya city mmetoa draw mnabaki mnalialia jitahidini mchukue ubingwa na nyinyi mpate nafasi ya kuhoji haya yanayoendelea ila kwa sasa kaeni kimya hojini mechi zenu na Ihefu au gwambina
Kwani nyie ubingwa hamuutaki? Mbona mmetoa draw na azam kama kutoa draw ni dhambi? Halafu mimi nilikuwa nazungumzia mechi ya Al Ahly ila ya Simba umeileta wewe mwenyewe kwa kuilinganisha na timu ya Al Ahly
 
Kwani nyie ubingwa hamuutaki? Mbona mmetoa draw na azam kama kutoa draw ni dhambi? Halafu mimi nilikuwa nazungumzia mechi ya Al Ahly ila ya Simba umeileta wewe mwenyewe kwa kuilinganisha na timu ya Al Ahly
mechi ya Al hly haikuhusu, wewe levo zako ni Ihefu na Gwambina . Tulipocheza na as Vita mlichonga sana baada ya matokeo mkapotea. Ila mnaweza kununua jezi zao na kuwapokea uwanjani.
 
Hizo goli kumi Ilishindwa sevilla ndio waje hao vibopa wa farao?

Endeleeni na ramli chonganishi si tunafanya maajabu na kuweka rekodi ambazo itawachukua karne kuja kuzifikia hizi ni rekodi ambazo zitaishi milele, hizo tabiri hazijaanza leo kuna wenzako walisema As vita itatupiga 5 unalipi la kuwaambia watu hao?

Eti kagere na mugalu unawatoa kosa...Sasa si bora uuziwe mbuzi kwenye gunia kuliko kuuziwa gunia lisilo na mbuzi?

Usajili wa kisado na yule kibopa mwingine sijui mnamuitwa nani ana jina gumu kama maisha yangu naye mmeingizwa chaka...anapiga pasi mbovu utafikiri anamiguu yote ya kushoto

Muda ndio Rafiki Mkuu Scars
 
Cha ajabu nini hapo?

Kwamba al ahly ni timu inayotisha sana kwasababu imempiga mtu goli hizo



Basi kama ndio hivyo simba iliyompiga mtu goli 4-1 itakua hatari zaidi yao

Hamfiki mbali na hata kuifunga As Vita ni bahati sana.

Goli lenyewe ni Penati. Hebu kuweni Serious nyie mikia. AS Vita itakuja kuwafunga Hapo Hapo kwa mkapa. Hamna forward sababisha Scars acheni kujidanganya na goli la penati

Halafu wewe mjanja mzima babu unashabikiaje Mikia mzee
 
Hamfiki mbali na hata kuifunga As Vita ni bahati sana.

Goli lenyewe ni Penati. Hebu kuweni Serious nyie mikia. AS Vita itakuja kuwafunga Hapo Hapo kwa mkapa. Hamna forward sababisha Scars acheni kujidanganya na goli la penati

Halafu wewe mjanja mzima babu unashabikiaje Mikia mzee
penalt ilitokea baada ya mchezaji kuzuia mpira ambao ulikua unaelekea kambani. Hii ni tofauti sana na ile piga nikupige ya kule zenji

utaachaje kuishabikia club yenye mashabiki zaidi ya milion 30 katika nchi yenye watu milion 50?
 
Hongeraa mikiaaa

Muongozo sio takwimu bali ni matokeo. Takwimu huwa hazihesabiki kuwa ni ushindi. Halafu nimegundua kuwa hapa nabishana na mtu mwenye mahaba na timu. Simba mpira wa kasi kaanza kuucheza lini? Kama ulikuwa haujui basi ujue mpira wa kasi na nguvu Simba huwa inawapa tabu, Simba wanapenda mpira wa taratibu na pasi nyingi.
Halafu pia sio ajabu kuona simba kumfunga Al Ahly kwasababu alishawahi fanya hivyo misimu ya nyuma lakini hilo haliondoi ukweli ya kwamba Al Ahly ni timu bora kwa Africa.

Nimeona unipe rejeo wewe si unaangalia mpira na umeangalia mechi nyingi za Simba. Naomba niambie ni mechi ipi uliyoona Simba wamecheza mpira wa kasi?
Hizo takwimu unazosemea wewe kuwa ndio ushahidi kuwa timu mbovu unaweza kuniambia katika mpira wa miguu umeona kwenye mechi ipi kila chance inayotengenezwa inakuwa converted kuwa goli? Kwenye mpira kazi ya kwanza ni kutengeneza nafasi nyingi ili upate goli. Kwa aina ya takwimu uliyoleta wewe imeonesha kuwa Al merreikh walishambuliwa sana na walizidowa. Lakini mbona hapo big chance 5 goal 3 haupazungumzii? Huwezi zungumzia approach ya timu nyingine iliyocheza na Al Ahly kupimia kiwango dhidi ya timu yako.

Simba watakuwa na game plan yao na pia Al Ahly watakuwa na game plan yao dhidi ya Simba na inaweza kuwa uchezaji tofauti na walivyocheza vs Al Merreikh. Mpira wa miguu sio mchezo wa kutabiri kupitia takwimu.
Haya njoo hapa mr mchambuzi ujionee maneno yako
 
Nimepita nimechungulia dakika kadhaa nimeona mpira hauna stimu kabisa yani utafikiri inacheza yanga

Mpira mbovu yani zile hamsha hamna umekosa stimu kabisa, nadhani bila simba haya mashindano yangekosa mvuto kabisa na hili wadau wote wa mpira wameliona

Hawa wote bado sijaona wakupona pindi wakikutana na mnyama
Unabii umetimia

Hata CAF huko waliko kama wameshuhudia kwa umakini kilichofanyika pale kwa mkapa watajua simba ina mchango gani kwenye hii ligi

Mechi zilizochezwa tangu ligi ianze, mechi za simba zimeonekana kuwa na mvuto kwa kuonesha upinzani na ubora wa kiwango

Mechi yeyote kwenye hii ligi ikichezwa bila kiskosi cha simba kuhusika, mechi inakosa mvuto, inakosa hamasa inakosa radha vile vile inadhalilisha waafrica tunaonekana mpira hatujui
 
Kwenye hii hatua ya makundi Simba atamaliza na pointi nne tu,
Hata droo na waarabu wa Sudan kwa Mkapa halafu mechi nyingine zote anakufa kifo cha mende.
[emoji23][emoji23] povu ruksa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba atakula kumi. Watu wapo Serious kweli na kazi. Sio kina Kagere na Mugalu wanaruka ruka tu na kupoteza nafasi.

Wajifunze kwa wanaume hawa wapo Serious kweli kweli
Hizo kumi ziliishia wapi badala ya kuchangishana kumlipa Tambwe mnaangahika na Simba.
 
Back
Top Bottom