Al Ahly yaanza vyema mechi ya hatua ya makundi kwa kuichapa El Merreikh 3-0

Maanake umeshindwa kujibu hoja. Ndio shida ya washabiki mahaba nyie hamjui mpira mnajua mahaba tu na timu
mna kiherehere Simba ndio wanaqcheza mechi nyinyi badala ya kupambana na ya kwenu mnabaki kufatilia Simba, mbeya city mmetoa draw mnabaki mnalialia jitahidini mchukue ubingwa na nyinyi mpate nafasi ya kuhoji haya yanayoendelea ila kwa sasa kaeni kimya hojini mechi zenu na Ihefu au gwambina
 
Kwani nyie ubingwa hamuutaki? Mbona mmetoa draw na azam kama kutoa draw ni dhambi? Halafu mimi nilikuwa nazungumzia mechi ya Al Ahly ila ya Simba umeileta wewe mwenyewe kwa kuilinganisha na timu ya Al Ahly
 
Kwani nyie ubingwa hamuutaki? Mbona mmetoa draw na azam kama kutoa draw ni dhambi? Halafu mimi nilikuwa nazungumzia mechi ya Al Ahly ila ya Simba umeileta wewe mwenyewe kwa kuilinganisha na timu ya Al Ahly
mechi ya Al hly haikuhusu, wewe levo zako ni Ihefu na Gwambina . Tulipocheza na as Vita mlichonga sana baada ya matokeo mkapotea. Ila mnaweza kununua jezi zao na kuwapokea uwanjani.
 

Muda ndio Rafiki Mkuu Scars
 
Cha ajabu nini hapo?

Kwamba al ahly ni timu inayotisha sana kwasababu imempiga mtu goli hizo



Basi kama ndio hivyo simba iliyompiga mtu goli 4-1 itakua hatari zaidi yao

Hamfiki mbali na hata kuifunga As Vita ni bahati sana.

Goli lenyewe ni Penati. Hebu kuweni Serious nyie mikia. AS Vita itakuja kuwafunga Hapo Hapo kwa mkapa. Hamna forward sababisha Scars acheni kujidanganya na goli la penati

Halafu wewe mjanja mzima babu unashabikiaje Mikia mzee
 
penalt ilitokea baada ya mchezaji kuzuia mpira ambao ulikua unaelekea kambani. Hii ni tofauti sana na ile piga nikupige ya kule zenji

utaachaje kuishabikia club yenye mashabiki zaidi ya milion 30 katika nchi yenye watu milion 50?
 
Hongeraa mikiaaa


Haya njoo hapa mr mchambuzi ujionee maneno yako
 
Unabii umetimia

Hata CAF huko waliko kama wameshuhudia kwa umakini kilichofanyika pale kwa mkapa watajua simba ina mchango gani kwenye hii ligi

Mechi zilizochezwa tangu ligi ianze, mechi za simba zimeonekana kuwa na mvuto kwa kuonesha upinzani na ubora wa kiwango

Mechi yeyote kwenye hii ligi ikichezwa bila kiskosi cha simba kuhusika, mechi inakosa mvuto, inakosa hamasa inakosa radha vile vile inadhalilisha waafrica tunaonekana mpira hatujui
 
Kwenye hii hatua ya makundi Simba atamaliza na pointi nne tu,
Hata droo na waarabu wa Sudan kwa Mkapa halafu mechi nyingine zote anakufa kifo cha mende.
[emoji23][emoji23] povu ruksa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba atakula kumi. Watu wapo Serious kweli na kazi. Sio kina Kagere na Mugalu wanaruka ruka tu na kupoteza nafasi.

Wajifunze kwa wanaume hawa wapo Serious kweli kweli
Hizo kumi ziliishia wapi badala ya kuchangishana kumlipa Tambwe mnaangahika na Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…