Al Akhdood Walalamika Simba SC kutumia Nembo yao

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Taarifa kutoka kwa afisa habari wa Al Akhdood Club.

Kuna Taarifa kutoka kwa afisa habari wa klabu ya Al -Akhdood club akilalamika kwanini Simba sc wametumia Jina na nembo yao na kusema wamecheza nao mechi.

Wanasema wao hawajacheza mechi hiyo na hawako katika jiji la Ismalia bali wako katika jiji laa Cairo wakijiandaa na Pre season hiyo timu iliofungwa Sita sio timu yao.

Simba SC hapa mlipuyanga kwa kweli. Inaabidi mtoe maelezo ili wanachama na mshabiki wenu wapate kuwaelewa
View attachment 2301872View attachment 2301873
 
Sasa hiyo ni habari mbaya . Wanaweza kutimuliwa kwenye mabweni ya hiyo shule ya kata ya misri na ukizingatia shule za misri zinakaribia kufunguliwa. Wamemweibisha aliyewaombea ufadhili shuleni hapo
 
uwo mda unatumia kuangaika na simba siungetumia kumtibu uyo mchezaj wen mdomo kama mkundu wa nyani uyo kwenye avata yako
 
Umesahau kuweka picha ya afisa habari huyo..... Nimekusaidia kuiweka.
 

Attachments

  • kitengetv-20220508-0001.jpg
    41.2 KB · Views: 5
Sasa hiyo ni habari mbaya . Wanaweza kutimuliwa kwenye mabweni ya hiyo shule ya kata ya misri na ukizingatia shule za misri zinakaribia kufunguliwa. Wamemweibisha aliyewaombea ufadhili shuleni hapo
Aisee
 
Unahangaika sana na Simba badala ya kufatilia kambi yenu kimbiji wewe si ndio ulileta Uzi Simba kafungwa goli za aibu we Manara pamoja na kuhama Simba Bado unaipenda
Mtani juzi mmepigwa dazeni.

Jana mkaamua kutafuta kibonde upunguze machungu.[emoji23]
 
Hiyo si sawa na ile ya wasanii wa bongo wanaobeba mabegi na kwenda kupigia picha airport na kupost kwenye social media waonekane wanasafiri kwa ndege!!!?[emoji3]
Wanataka kutuokota[emoji23][emoji23]
 
Huyu mama anaongoza kuposr uzushi kila kukicha,mijitu mingine imeanza kushabiki mpira juzi achana nayo,akipata bwana ataacha ujinga
threads zake 99% ni uwongo na uzushi , sijawahi kuona mjinga kama huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…