Vyombo vya habari vya Kizayuni vimeshangaa sana baada ya kuona Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS inatumia gari jeusi ililoliteka kwa wanajeshi wa Israel katika kukabidhi wafungwa Wazayuni iliokuwa inawashikilia kwenye Ukanda wa Ghaza.
Fares Al-Sarfandi, ripota wa televisheni ya Al-Alam huko Ramallah Palestina ameripoti kuwa, vyombo vya habari vya Israel viliona gari jeusi wakati wa zoezi la kukabidhi mateka wa Israel kwa Shirika la Msalaba Mwekundu.
Kilichovutia hisia za vyombo vya habari vya Israel ni kwamba gari hiyo ilikuwa ni tofauti na magari mengine yaliyokuwa yanatumiwa na HAMAS kukabidhi mateka wa Kizayuni.
Source: Pars Today
Al-Alam yaripoti hasira za Wazayuni kutokana na HAMAS kutumia gari ya Israel kukabidhi mateka + Video - Pars Today
Al-Alam yaripoti hasira za Wazayuni kutokana na HAMAS kutumia gari ya Israel kukabidhi mateka + Video