Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Naanza kuhisi zile gari za kifahari wanaweza wakubwa wa mitutu kuhusika.Familia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025.
Al-Hajj Mushi anayeishi na kaka yake, Ally Mushi, alimuaga kaka yake kuwa anaenda kukutana na mteja wa kukodisha gari maeneo ya Tegeta Kibo Complex mnamo Septemba 05, 2025.
Hata hivyo majira ya saa moja jioni,alichukuliwa kinguvu na watu wenye silaha walioodoka naye katika gari aina ya Toyota Wish. Al-haji alikipiga kelele kuwa anatekwa katika jitihada za kukabiliana na watu hao, hata hivyo walimzidi nguvu na kuondoka naye. Hakukua na yeyote katika kadamnasi aliyeweza kutoa msaada wa moja kwa moja kudhibiti watu hao.
“Ni kijana mdogo tu wa miaka 25, aliniomba ruhusa anaenda Kibo Complex kibiashara, alivyoenda pale hakurudi tena. Sasa kesho asubuhi tukaenda hiyo sehemu-Kibo Complex, [mashuhuda] wakatuambia kumbe nyie ni ndugu ya yule jamaa aliyetekwa,” anaeleza kaka yake ndugu Ally.
Al-Hajj ni maarufu katika mtandao wa Instagram kupitia ukurasa wake wa @kings_hot_riders ambao husambaza picha kuhusu magari ya kifahari Tanzania. Sehemu kubwa hupiga picha na kusambaza picha hizo kwa ridhaa za wamiliki wa magari hayo.
Tukio hili limeripotiwa polisi kituo cha Mbweni na kupewa RB namba: MBN/RB/2209/2025, kama una taarifa zozote unaweza kuwasiliana na familia kupitia namba 0683772862.
Soma >> Maria Sarungi aripoti Al-HAJJ NOURDIN MUSHI ametekwa tangu jana 05 September, 2025
Ila hili la utekaji ni kama jeshi la polisi wameli halalisha kabisa kitu ambacho ni hatari sana kwa usatawi wa taifaInasikitisha sana.. Polisi watajitokeza kukanusha. Hii nchi ina mambo ya ajabu sana
Ni tukio la kusikitisha sana. Vijana tuwe makini sijui sababu ya kufanyiwa vile ila kuna baadhi ya mambo ni vyema kuyaepuka kabisa kwa usalama wako.
1. Dhuluma
2. Ubabe na sifa za kijinga.
3. Mke/mme wa mtu
4. Siasa- nadhani uhalisia unajulikana.
5. Kufuatilia mambo ya watu yasioyokuhusu.
6. Mtaongeza
Kwanini lakini mtindo huu wa kuteka umeonekana kulindwa na jeshi la polisi, huu ni mfumo mpya wa ukamataji na uuaji wa raia, huyu IGP huwa namtafakari sijui ni mtu wa aina gani , anaonekana ni wa dili chafu na matendo machafu ingawa ukimwangalia wala haendaniNi tukio la kusikitisha sana. Vijana tuwe makini sijui sababu ya kufanyiwa vile ila kuna baadhi ya mambo ni vyema kuyaepuka kabisa kwa usalama wako.
1. Dhuluma
2. Ubabe na sifa za kijinga.
3. Mke/mme wa mtu
4. Siasa- nadhani uhalisia unajulikana.
5. Kufuatilia mambo ya watu yasioyokuhusu.
6. Mtaongeza
Ana historia katili ndani ya jeshi. Mikono yake ina damu za cold blooded TanzaniansKwanini lakini mtindo huu wa kuteka umeonekana kulindwa na jeshi la polisi, huu ni mfumo mpya wa ukamataji na uuaji wa raia, huyu IGP huwa namtafakari sijui ni mtu wa aina gani , anaonekana ni wa dili chafu na matendo machafu ingawa ukimwangalia wala haendani
Vitendo vya utekaji sio kabisa.Kwanini lakini mtindo huu wa kuteka umeonekana kulindwa na jeshi la polisi, huu ni mfumo mpya wa ukamataji na uuaji wa raia, huyu IGP huwa namtafakari sijui ni mtu wa aina gani , anaonekana ni wa dili chafu na matendo machafu ingawa ukimwangalia wala haendani
Vitisho gani mkuu, nimesema tu kwa namna ya kawaida labda inavyosomeka ndio inaonekana kama ni vitisho.Umekosea kuweka vitisho
Sijawahi hata siku moja kumsikia IGP hata akikemea kwa unafiki tu hiyo tabiaVitendo vya utekaji sio kabisa.
Binadam sisi ni wema sana machoni kwa watu ila ndani yetu tuna mengi ya hatari tumeficha, simaanishi kwamba kijana alietekwa ni hatari.
Dah admin wa page yangu pendwa ametekwa kweli hii nchi ina mangaunje wengiFamilia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025.
Al-Hajj Mushi anayeishi na kaka yake, Ally Mushi, alimuaga kaka yake kuwa anaenda kukutana na mteja wa kukodisha gari maeneo ya Tegeta Kibo Complex mnamo Septemba 05, 2025.
Hata hivyo majira ya saa moja jioni,alichukuliwa kinguvu na watu wenye silaha walioodoka naye katika gari aina ya Toyota Wish. Al-haji alikipiga kelele kuwa anatekwa katika jitihada za kukabiliana na watu hao, hata hivyo walimzidi nguvu na kuondoka naye. Hakukua na yeyote katika kadamnasi aliyeweza kutoa msaada wa moja kwa moja kudhibiti watu hao.
“Ni kijana mdogo tu wa miaka 25, aliniomba ruhusa anaenda Kibo Complex kibiashara, alivyoenda pale hakurudi tena. Sasa kesho asubuhi tukaenda hiyo sehemu-Kibo Complex, [mashuhuda] wakatuambia kumbe nyie ni ndugu ya yule jamaa aliyetekwa,” anaeleza kaka yake ndugu Ally.
Al-Hajj ni maarufu katika mtandao wa Instagram kupitia ukurasa wake wa @kings_hot_riders ambao husambaza picha kuhusu magari ya kifahari Tanzania. Sehemu kubwa hupiga picha na kusambaza picha hizo kwa ridhaa za wamiliki wa magari hayo.
Tukio hili limeripotiwa polisi kituo cha Mbweni na kupewa RB namba: MBN/RB/2209/2025, kama una taarifa zozote unaweza kuwasiliana na familia kupitia namba 0683772862.
Soma >> Maria Sarungi aripoti Al-HAJJ NOURDIN MUSHI ametekwa tangu jana 05 September, 2025
Ni ngumu kumtofautisha Mtanzania na Nyumbu.Ila sisi watanzania nasi ni kama vile wangese, mtu anaweza kutekwa mbele ya macho yetu lkn tunachokiweza n kurikodi na kuangalia tuu
Aliposti Magari ya Abdul na Angela Kizigha, mafisadi ya SAMUYA.Familia ya Al-Hajj Nourdin Mushi (25) imeendelea kumtafuta baada ya kuchukuliwa na watu wenye silaha maeneo ya Tegeta Kibo mnamo Septemba 05, 2025.
Al-Hajj Mushi anayeishi na kaka yake, Ally Mushi, alimuaga kaka yake kuwa anaenda kukutana na mteja wa kukodisha gari maeneo ya Tegeta Kibo Complex mnamo Septemba 05, 2025.
Hata hivyo majira ya saa moja jioni,alichukuliwa kinguvu na watu wenye silaha walioodoka naye katika gari aina ya Toyota Wish. Al-haji alikipiga kelele kuwa anatekwa katika jitihada za kukabiliana na watu hao, hata hivyo walimzidi nguvu na kuondoka naye. Hakukua na yeyote katika kadamnasi aliyeweza kutoa msaada wa moja kwa moja kudhibiti watu hao.
“Ni kijana mdogo tu wa miaka 25, aliniomba ruhusa anaenda Kibo Complex kibiashara, alivyoenda pale hakurudi tena. Sasa kesho asubuhi tukaenda hiyo sehemu-Kibo Complex, [mashuhuda] wakatuambia kumbe nyie ni ndugu ya yule jamaa aliyetekwa,” anaeleza kaka yake ndugu Ally.
Al-Hajj ni maarufu katika mtandao wa Instagram kupitia ukurasa wake wa @kings_hot_riders ambao husambaza picha kuhusu magari ya kifahari Tanzania. Sehemu kubwa hupiga picha na kusambaza picha hizo kwa ridhaa za wamiliki wa magari hayo.
Tukio hili limeripotiwa polisi kituo cha Mbweni na kupewa RB namba: MBN/RB/2209/2025, kama una taarifa zozote unaweza kuwasiliana na familia kupitia namba 0683772862.
Soma >> Maria Sarungi aripoti Al-HAJJ NOURDIN MUSHI ametekwa tangu jana 05 September, 2025
Nina uhakika hii ndiyo sababuAliposti Magari ya Abdul na Angela Kizigha, mafisadi ya SAMUYA.