Al-hajj Mushi anayeripotiwa kutekwa amezingua kitu gani?

Ila hili la utekaji ni kama jeshi la polisi wameli halalisha kabisa kitu ambacho ni hatari sana kwa usatawi wa taifa
Ukiona hatua stahiki hazichukuliwi ujue hilo jambo limebarikiwa na wenye mamlaka
 
Hiyo namba 4 ungeitoa mkuu maana Tukichukua mtazamo huo tunatengeneza jamii ya watu wa hovyo sana... Maana yake tuwape ushindi waovu na walafi Wa madaraka?

Wachume rasilimali wanavyotaka wajaze matumbo Yao na watoto wao tuogope kuhoji Kwa sababu ya kuogopa vitisho?... Ni kweli Kwa Sasa wananchi hatuna nguvu Wala hatuna jeshi la kupambana na nguvu ya Dola lakini hatupaswi kukaa kimya tufumbie macho haya yanayoendelea
 
6. Utapeli
 
Waislamu ni wapumbavu sana
 
Hapo namba 4 umemaanisha nini?
 
Ila sisi watanzania nasi ni kama vile wangese, mtu anaweza kutekwa mbele ya macho yetu lkn tunachokiweza n kurikodi na kuangalia tuu
Hao watekaji mkiwadhibiti mkawapa dozi nene polisi watakuja kuwaambia mmewapiga maafisa wa TRA.Unakumbuka lile tukio la tegeta? Hadi wanasiasa waliingilia kati kumtetea aliyepewa kipondo na wananchi
 
Abdul anahisi ndiyo mtoa picha za mandinga yake kwa Mange dah huyu jamaa hatari sana
 
Kila mmoja atatekwa Kwa wakati wake ni suala la muda tu,kama mtu anatekwa mchana kweupe mbele za watu,anaomba msaada na watu wanachukua picha na video tu bila kutoa msaada maana yake hayupo aliye salama..Ni suala la muda tu
 
Kajala 1 and 2 tena zote ni Range.

Hallelujah!!!
 
Ukiunganisha dots,unapata picha ya nani yupo nyuma ya huu utekaji.

Mange alikuwa ananyofoa picha kutoka page ya huyo dogo halafu wadau wanataja wamiliki wake.
 
Kupost Magari tu ?
Eee hujaona picha latest wamefunika hayo magari yasionekane na zaidi yameondolewa kwenye database za TIRA ili usione details za bima za hayo magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…