Al-hajj Mushi anayeripotiwa kutekwa amezingua kitu gani?

Ila hili la utekaji ni kama jeshi la polisi wameli halalisha kabisa kitu ambacho ni hatari sana kwa usatawi wa taifa
Polisi hawana nguvu.

Kuna kundi chini ya MAFWELE na ABDUL ndio linafanya kazi.

Kasikilize tukio la SATIVA ndio utajua.

Wanatumia ofisi za umma, ila wanafanya kazi nje ya mfumo wa sheria.
 
Waislamu ndiyo kiumbe chenye ku criticize wengine huku wao ni wabovu kuliko wanao wa criticize (huu ni upumbavu wa daraja ya juu kabisa.
Hata hasty generalization unayoifanya ni upumbavu pia.

Your sample(mama samia and kikwete) is not sufficiently enough to draw such conclusion.
 
hiyo page yake instagram anayopost magari ya kifahari inawezekana alipost gari la mtoto mpendwa au ya wahuni walao mema ya nchi.!
 
Mad Max upo jamvini kweli? Kama haupo basi
 
Hao watekaji mkiwadhibiti mkawapa dozi nene polisi watakuja kuwaambia mmewapiga maafisa wa TRA.Unakumbuka lile tukio la tegeta? Hadi wanasiasa waliingilia kati kumtetea aliyepewa kipondo na wananchi
Dah 😂
 
Sasa hivi ukiona umerudi nyumbani salama unashukuru sana.

Siku hizi bora ukutane na fisi porini sio watu wasiojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…