Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Klabu ya Al Hilal ya nchini 🇸🇩Sudan ipo tayari kutoa 💲600,000 sawa(Tsh 1.38b) kumsajili mchezaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YANGA CHUKUA HII PESA HALAFU NUNUA BELEKE WATU WAFE HAPA MJINI...NACHEKA KAMA MAZURI VILEKlabu ya Al Hilal ya nchini 🇸🇩Sudan ipo tayari kutoa 💲600,000 sawa(Tsh 1.38b) kumsajili mchezaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.View attachment 2586614
Wanahitaji watu mkuu, ikifikia wanahitaji majini basi Baleke atatafutwa.Pesa yote hiyo wanachezea kwa Mayele wakati kuna Jean Baleke.
hawana huo ubavuKlabu ya Al Hilal ya nchini [emoji1232]Sudan ipo tayari kutoa [emoji765]600,000 sawa(Tsh 1.38b) kumsajili mchezaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele.View attachment 2586614
Na ndicho kinachokwenda kutokea hiki.YANGA CHUKUA HII PESA HALAFU NUNUA BELEKE WATU WAFE HAPA MJINI...NACHEKA KAMA MAZURI VILE
Unawajua Hilal kiuchumi vizuri kweli wewe!!hawana huo ubavu
Wapigie simuPesa yote hiyo wanachezea kwa Mayele wakati kuna Jean Baleke.
Teh mnataka aende eehKwa akili za Topolo sidhani kama watamuuza huyo.
Mpeni nafasi akatafute maishaTeh mnataka aende eeh
inategemea na scout yao,Pesa yote hiyo wanachezea kwa Mayele wakati kuna Jean Baleke.
Jean Baleke ndiyo yule mchezaji wa Tp Mazembe aliyeko kwa mkopo pale simba?Pesa yote hiyo wanachezea kwa Mayele wakati kuna Jean Baleke.
Hakika Luc hakukosea. Kwani Baleke kakuambia waajiri wake lazima wawe TP Mazembe?Jean Baleke ndiyo yule mchezaji wa Tp Mazembe aliyeko kwa mkopo pale simba?
Huyo hawezi kusajiliwa. Maana ana kibarua kigumu cha kuwashawishi waajiri wake kwanza, ili muda wake wa mkopo pale msimbazi ukimalizika, arejee klabuni kwake.
Mkurugenzi, mbona kama umepaniki!! Mimi sijasema waajiri wake lazima wawe Tp Mazembe!Hakika Luc hakukosea. Kwani Baleke kakuambia waajiri wake lazima wawe TP Mazembe?