Al Halal Kumng’oa Mayele Yanga

Al Halal Kumng’oa Mayele Yanga

Mkurugenzi, mbona kama umepaniki!! Mimi sijasema waajiri wake lazima wawe Tp Mazembe!

Hata nyinyi simba mnaweza pia kumpa mkataba wa kudumu. Ila kwa sasa, ufahamu tu ubora wa Baleke una nia kubwa moja tu ya kuwaonesha Tp Mazembe ya kwamba yeye bado ni bora, anastahili pia kuwemo kwenye kikosi chao.
Wachezaji kibao wamesajiliwa na klabu C baada ya kuwa Kwa mkopo kwenye klabu B ambako alipelekwa na klabu A. Nadhani umeelewa, Kwa hiyo biashara ya mpira inafanyika Kwa mchezaji yoyote bila kujali yupo Kwa mkopo sijui kuthibitisha ubora wake.
 
Waongeze pesa la sivyo anaenda PSG maana nao wanamtaka! Walau paundi 560k. Hiyo pesa ya mboga labda kwa makinda wa ukoloni kama chama na Baleke kama nyongeza watapewa
 
Back
Top Bottom