Al Halal Kumng’oa Mayele Yanga

Pesa yote hiyo wanachezea kwa Mayele wakati kuna Jean Baleke.
Jean Baleke ndiyo yule mchezaji wa Tp Mazembe aliyeko kwa mkopo pale simba?

Huyo hawezi kusajiliwa. Maana ana kibarua kigumu cha kuwashawishi waajiri wake kwanza, ili muda wake wa mkopo pale msimbazi ukimalizika, arejee klabuni kwake.
 
Hakika Luc hakukosea. Kwani Baleke kakuambia waajiri wake lazima wawe TP Mazembe?
 
Hakika Luc hakukosea. Kwani Baleke kakuambia waajiri wake lazima wawe TP Mazembe?
Mkurugenzi, mbona kama umepaniki!! Mimi sijasema waajiri wake lazima wawe Tp Mazembe!

Hata nyinyi simba mnaweza pia kumpa mkataba wa kudumu. Ila kwa sasa, ufahamu tu ubora wa Baleke una nia kubwa moja tu ya kuwaonesha Tp Mazembe ya kwamba yeye bado ni bora, anastahili pia kuwemo kwenye kikosi chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…