Mkurugenzi, mbona kama umepaniki!! Mimi sijasema waajiri wake lazima wawe Tp Mazembe!
Hata nyinyi simba mnaweza pia kumpa mkataba wa kudumu. Ila kwa sasa, ufahamu tu ubora wa Baleke una nia kubwa moja tu ya kuwaonesha Tp Mazembe ya kwamba yeye bado ni bora, anastahili pia kuwemo kwenye kikosi chao.