Al Hilal anapoenda kutukung'uta mechi ijayo, naomba mtakapomtimua Gamondi timueni na wachezaji wafuatao

Kadi zetu hazina mfumo wa number mkuu
Mkuu hebu usije Fanya nikakuona huna akili wakati wewe ni moja ya watu ninaowaheshimu hapa JF!

Hizo namba nimetaja namba 5 za mwisho za utambulisho za kadi yangu ya mwanachama
 
Mkuu hebu usije Fanya nikakuona huna akili wakati wewe ni moja ya watu ninaowaheshimu hapa JF!

Hizo namba nimetaja namba 5 za mwisho za utambulisho za kadi yangu ya mwanachama
Onesha kwanza screenshot ya malipo ulio lipia kadi na mie naweka yangu hapa ndugu yangu tuondoe utata
 
Onesha kwanza screenshot ya malipo ulio lipia kadi na mie naweka yangu hapa ndugu yangu tuondoe utata
AChana na Malipo,nimekuuliza wewe ni mwanachama wa Yanga kutoka tawi gani?
 
Nilichogundua ni mtego kwa wapinzani. Kumbuka club bingwa ni ligi inayotumia akili nyingi sana. Gamond anajua makocha wanajipanga kutokana na ubora wa kikosi pinzani. Hivyo, Gamond ameamua kuonyesha kuwa Yanga ina madhaifu hasa eneo la ulinzi na forward kwa wapinzani ili waione Yanga kuwa rahisi.

Hii ni mbinu ambayo hakika itafanya wapinzani wapigike ipasavyo maana lengo la Yanga msimu huu ni kufika nusu fainali championship. Huku ndani, anajua hakuna mpinzani maana ligi bado mbichi sana.....

Save haya maandiko yangu kama huamini
 
Hii mechi nyepesi sana kwa Yanga tarehe 26.11 amini hilo
Mechi nyepesi sana kwa yanga amini usiamini
Hata mie Naamini msemavyo wananchi.

Ila siamini kama Tabora ni ngumu kuliko Al Hilal na Azam
 
Adui akipitia kipindi kigumu rahaa sana
 
Hii mechi nyepesi sana kwa Yanga tarehe 26.11 amini hilo
Mechi nyepesi sana kwa yanga amini usiamini

Sio mbali, mkuu umepoteza matumaini kabisa na Yanga, hii ni timu yenye mipango mikubwa, binafsi bado nna imani na Gamondi na kikosi chake.

Gamondi Hana Mbinu za kuivusha Yanga mkuu,tarehe 26 wale Al Hilal wanaenda kututia aibu Kwa Mkapa!

Unaongea haya wewe kama nani hapo Yanga?

Hata mie Naamini msemavyo wananchi.

Ila siamini kama Tabora ni ngumu kuliko Al Hilal na Azam

Nawakumbusha Wana utopolo kesho ni siku ya kupiga kura SAWA
 
Nimerudia huu Uzi Baada ya Mechi njoo Unipe neno!!
 
Haya tumesave tayari ila leo huko ni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…