Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Kadi zetu hazina mfumo wa number mkuuKadi namba 43780
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadi zetu hazina mfumo wa number mkuuKadi namba 43780
Onesha kwanza screenshot ya malipo ulio lipia kadi na mie naweka yangu hapa ndugu yangu tuondoe utataMkuu hebu usije Fanya nikakuona huna akili wakati wewe ni moja ya watu ninaowaheshimu hapa JF!
Hizo namba nimetaja namba 5 za mwisho za utambulisho za kadi yangu ya mwanachama
Kulia kupokezana 😂😂Utamu huu na Makolo watauonja,ni suala la Muda tu
Tuamoyo kigamboniAChana na Malipo,nimekuuliza wewe ni mwanachama wa Yanga kutoka tawi gani?
Hata mie Naamini msemavyo wananchi.Hii mechi nyepesi sana kwa Yanga tarehe 26.11 amini hilo
Mechi nyepesi sana kwa yanga amini usiamini
Mimi ndio mwenyekiti mkuuNaomba nitajie Mwenyekiti wako wa tawi
Adui akipitia kipindi kigumu rahaa sanaNsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane !
Tarehe 26 ni siku ambayo timu yangu ya Yanga unakwenda Kucheza mechi ya kwanza ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Hilal Omdurman,siku hii naelewa kabisa Yanga atafungwa si chini ya Goli 3 na ndiyo siku ambayo kocha Gamondi anaenda kutimuliwa rasmi!
Binafsi nilionya sana na nikapendekeza ya kwamba,baada ya kipigo Cha goli 3 kutoka Kwa walina Asali wa Tabora,ilipaswa Kocha Gamondi asikanyage tena Avic town,ilipaswa abebwe kwenye Guta na mabegi yake arudishwe kwao!
Kwakuwa mmejifanya kichwa ngumu na kuendelea kumuamini kocha ambaye mbinu zimemuishia,naamini hiyo Tarehe 26 mtatafutana pale Taifa!
Siku hiyo mtakapoamua kumfurusha Gamondi baada ya kipigo Cha aibu kutoka Kwa Al Hilal naomba na wachezaji wafuatao wasirudi Avic town,tena wakati wa kwenda Taifa waende na virago vyao wakiwa tayari Kwa safari!
1. AZIZ Ki
Huyu jamaa kwasasa hapaswi kabisa kuvaa kitu chochote chenye nembo ya Yanga !
Tulimng'ang'ania Kwa nguvu zote akaongeza mkataba Kwa gharama kubwa lakini anachokifanya uwanjani akiendani na malipo anayopewa!,Pesa anayolipwa ni heri akaongezewa mshahara Maxi Mpira Nzengeli
Yeye aende akavute shisha vizuri huko Burkinafaso na ikiwezekana aondoke na Malaya wake Hamisa!
Msipomtimua siku hiyo basi Hersi ajiandae kuiachia timu,hatuwezi kuvumilia huu ujinga Kwa wachezaji wasiokuwa na nidhamu halafu mkawachekea tu!
Ronaldo umri umeenda lakini pumzi aliyonayo Huwezi linganisha na hizi takataka kwasababu jamaa ana nidhamu binafsi na amejiweka kando na mambo ya kijinga!
Mbona kabla ya kuongezea mshahara hakuwahi kufanya huu ujinga?,chezaji gani kila siku lenyewe ni klabu tu kuelewa na kuvuta shisha?
2. CHADRACK BOKA
Huyu siku hiyo ya mechi pia anapaswa kwenda na Virago vyake Taifa,baada ya kipigo apandishwe Lori linaloelekea Tunduma,akifika Tunduma apandishwe gari la Sumbawanga hadi Kabwe,akifika Kabwe apandishwe mtumbwi kuelekea kwao Congo
Hatuwezi Kuwa na Mchezaji anachojua yeye ni mbio tu na siyo tekniki za mpira,huyu jamaa kipaji Chake siyo mpira Bali ni riadha,huku kwenye Mpira kavamia tu,kwenye riadha angefanya vema zaidi kuliko huku kwenye kabumbu!
Nitashangaa sana siku hiyo akiondoka Gamondi na huyu akibaki,nitashangaa sana!
3. KHALID AUCHO
Huyu yeye kwakuwa hapo Uganda ni Jirani,ni vema nae siku hiyo akaja na furushi lake la Virago kwasababu baada ya mechi inapaswa apandishwe Lori linaloelekea Uganda kupitia Mutukula!,hapaswi kupanda ndege kwasababu itakuwa ni uharibifu wa rasilimali fedha!
Hatuwezi Kuwa na Mchezaji ambaye anatumia nguvu nyingi kuliko Akili,kila uchwao anapokuwa kiwanjani badala ya Kuwa mfano Kwa wachezaji wenzie yeye anajifanya mwehu!,kama anazo nguvu ni vema akaenda Kucheza mieleka na kina John Cena lakini kwenye Mpira hizo nguvu hatuzihitaji!
Badala aboreshe kiwango Chake,yeye kaboresha matumizi ya nguvu kupita kiasi!
4. KENNEDY MUSONDA
Hakuna mchezaji niliyekuwa nikimkubali na kumpenda kama huyu Musonda,lakini Ujio wa Gamondi umeua kiwango Chake kabisa!
Nadhani ni muda muafaka kuachana naye ili akayaanze maisha mapya sehemu nyingine,TP Mazembe walimuhitaji sana jamaa sema ndiyo hivyo wamefungiwa kufanya usajili lakini naamini wakifunguliwa bado atakuwa na nafasi ya kwenda huko na kufanya vizuri!
Baada ya hiyo safisha safisha ya wachezaji hao,tutapaswa kufanya usajili wa wachezaji wafuatao;
1. Goli kipa wa ziada mwenye uzoefu mkubwa kutoka nje
2. Beki namba 2 mwenye uzoefu mkubwa kutoka ndani
3. Beki namba 3 mwenye uzoefu mkubwa kutoka nje
4. Beki namba 5 mwenye uzoefu mkubwa kutoka ndani
5. Kiungo mkabaji
Alikamwe najua upo humu na unapitia hili Jukwaa,tafadhali lichukue kama lilivyo umuonyeshe Hersi!
YametimiaAdui akipitia kipindi kigumu rahaa sana
Hii mechi nyepesi sana kwa Yanga tarehe 26.11 amini hilo
Mechi nyepesi sana kwa yanga amini usiamini
Sio mbali, mkuu umepoteza matumaini kabisa na Yanga, hii ni timu yenye mipango mikubwa, binafsi bado nna imani na Gamondi na kikosi chake.
Gamondi Hana Mbinu za kuivusha Yanga mkuu,tarehe 26 wale Al Hilal wanaenda kututia aibu Kwa Mkapa!
Unaongea haya wewe kama nani hapo Yanga?
Nilichogundua ni mtego kwa wapinzani. Kumbuka club bingwa ni ligi inayotumia akili nyingi sana. Gamond anajua makocha wanajipanga kutokana na ubora wa kikosi pinzani. Hivyo, Gamond ameamua kuonyesha kuwa Yanga ina madhaifu hasa eneo la ulinzi na forward kwa wapinzani ili waione Yanga kuwa rahisi.
Hii ni mbinu ambayo hakika itafanya wapinzani wapigike ipasavyo maana lengo la Yanga msimu huu ni kufika nusu fainali championship. Huku ndani, anajua hakuna mpinzani maana ligi bado mbichi sana.....
Save haya maandiko yangu kama huamini
Hata mie Naamini msemavyo wananchi.
Ila siamini kama Tabora ni ngumu kuliko Al Hilal na Azam
Nimerudia huu Uzi Baada ya Mechi njoo Unipe neno!!Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane !
Tarehe 26 ni siku ambayo timu yangu ya Yanga unakwenda Kucheza mechi ya kwanza ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Hilal Omdurman,siku hii naelewa kabisa Yanga atafungwa si chini ya Goli 3 na ndiyo siku ambayo kocha Gamondi anaenda kutimuliwa rasmi!
Binafsi nilionya sana na nikapendekeza ya kwamba,baada ya kipigo Cha goli 3 kutoka Kwa walina Asali wa Tabora,ilipaswa Kocha Gamondi asikanyage tena Avic town,ilipaswa abebwe kwenye Guta na mabegi yake arudishwe kwao!
Kwakuwa mmejifanya kichwa ngumu na kuendelea kumuamini kocha ambaye mbinu zimemuishia,naamini hiyo Tarehe 26 mtatafutana pale Taifa!
Siku hiyo mtakapoamua kumfurusha Gamondi baada ya kipigo Cha aibu kutoka Kwa Al Hilal naomba na wachezaji wafuatao wasirudi Avic town,tena wakati wa kwenda Taifa waende na virago vyao wakiwa tayari Kwa safari!
1. AZIZ Ki
Huyu jamaa kwasasa hapaswi kabisa kuvaa kitu chochote chenye nembo ya Yanga !
Tulimng'ang'ania Kwa nguvu zote akaongeza mkataba Kwa gharama kubwa lakini anachokifanya uwanjani akiendani na malipo anayopewa!,Pesa anayolipwa ni heri akaongezewa mshahara Maxi Mpira Nzengeli
Yeye aende akavute shisha vizuri huko Burkinafaso na ikiwezekana aondoke na Malaya wake Hamisa!
Msipomtimua siku hiyo basi Hersi ajiandae kuiachia timu,hatuwezi kuvumilia huu ujinga Kwa wachezaji wasiokuwa na nidhamu halafu mkawachekea tu!
Ronaldo umri umeenda lakini pumzi aliyonayo Huwezi linganisha na hizi takataka kwasababu jamaa ana nidhamu binafsi na amejiweka kando na mambo ya kijinga!
Mbona kabla ya kuongezea mshahara hakuwahi kufanya huu ujinga?,chezaji gani kila siku lenyewe ni klabu tu kuelewa na kuvuta shisha?
2. CHADRACK BOKA
Huyu siku hiyo ya mechi pia anapaswa kwenda na Virago vyake Taifa,baada ya kipigo apandishwe Lori linaloelekea Tunduma,akifika Tunduma apandishwe gari la Sumbawanga hadi Kabwe,akifika Kabwe apandishwe mtumbwi kuelekea kwao Congo
Hatuwezi Kuwa na Mchezaji anachojua yeye ni mbio tu na siyo tekniki za mpira,huyu jamaa kipaji Chake siyo mpira Bali ni riadha,huku kwenye Mpira kavamia tu,kwenye riadha angefanya vema zaidi kuliko huku kwenye kabumbu!
Nitashangaa sana siku hiyo akiondoka Gamondi na huyu akibaki,nitashangaa sana!
3. KHALID AUCHO
Huyu yeye kwakuwa hapo Uganda ni Jirani,ni vema nae siku hiyo akaja na furushi lake la Virago kwasababu baada ya mechi inapaswa apandishwe Lori linaloelekea Uganda kupitia Mutukula!,hapaswi kupanda ndege kwasababu itakuwa ni uharibifu wa rasilimali fedha!
Hatuwezi Kuwa na Mchezaji ambaye anatumia nguvu nyingi kuliko Akili,kila uchwao anapokuwa kiwanjani badala ya Kuwa mfano Kwa wachezaji wenzie yeye anajifanya mwehu!,kama anazo nguvu ni vema akaenda Kucheza mieleka na kina John Cena lakini kwenye Mpira hizo nguvu hatuzihitaji!
Badala aboreshe kiwango Chake,yeye kaboresha matumizi ya nguvu kupita kiasi!
4. KENNEDY MUSONDA
Hakuna mchezaji niliyekuwa nikimkubali na kumpenda kama huyu Musonda,lakini Ujio wa Gamondi umeua kiwango Chake kabisa!
Nadhani ni muda muafaka kuachana naye ili akayaanze maisha mapya sehemu nyingine,TP Mazembe walimuhitaji sana jamaa sema ndiyo hivyo wamefungiwa kufanya usajili lakini naamini wakifunguliwa bado atakuwa na nafasi ya kwenda huko na kufanya vizuri!
Baada ya hiyo safisha safisha ya wachezaji hao,tutapaswa kufanya usajili wa wachezaji wafuatao;
1. Goli kipa wa ziada mwenye uzoefu mkubwa kutoka nje
2. Beki namba 2 mwenye uzoefu mkubwa kutoka ndani
3. Beki namba 3 mwenye uzoefu mkubwa kutoka nje
4. Beki namba 5 mwenye uzoefu mkubwa kutoka ndani
5. Kiungo mkabaji
Alikamwe najua upo humu na unapitia hili Jukwaa,tafadhali lichukue kama lilivyo umuonyeshe Hersi!
Sisi makolo tunajibu hivii" Al Hilal sio wabovu🤣🤣Tunaomba Makolo mtujibu mapema,Al Hilal ni wabovu au sio wabovu??.
Haya tumesave tayari ila leo huko niNilichogundua ni mtego kwa wapinzani. Kumbuka club bingwa ni ligi inayotumia akili nyingi sana. Gamond anajua makocha wanajipanga kutokana na ubora wa kikosi pinzani. Hivyo, Gamond ameamua kuonyesha kuwa Yanga ina madhaifu hasa eneo la ulinzi na forward kwa wapinzani ili waione Yanga kuwa rahisi.
Hii ni mbinu ambayo hakika itafanya wapinzani wapigike ipasavyo maana lengo la Yanga msimu huu ni kufika nusu fainali championship. Huku ndani, anajua hakuna mpinzani maana ligi bado mbichi sana.....
Save haya maandiko yangu kama huamini
come again, overHii mechi nyepesi sana kwa Yanga tarehe 26.11 amini hilo