Al Hilal Chali

Al Hilal Chali

Ligi ya mabingwa ikifika hatua ya robo washindani wanaogombania ubingwa huwa wanajitenga na zile timu zinazowasindikiza wenzao.

Hatua zinazofata wanao shindana serious ni Al ahly, Waydad, Esperence na Raja casablanca. Katika hawa wanne ndipo kuna bingwa atapatikana

Hata mamelodi ni anasindikiza tu wenzake.. hana tofauti na kina simba
 
Kama vile kuna ukweli Fulani hivi,kwahuo mchezo walio cheza al Hilal itoshekusema walienda kukamilisha ratiba tu
 
Ligi ya mabingwa ikifika hatua ya robo washindani wanaogombania ubingwa huwa wanajitenga na zile timu zinazowasindikiza wenzao.

Hatua zinazofata wanao shindana serious ni Al ahly, Waydad, Esperence na Raja casablanca. Katika hawa wanne ndipo kuna bingwa atapatikana

Hata mamelodi ni anasindikiza tu wenzake.. hana tofauti na kina simba
Al Ahaly ni sawa na Real Madrid wakishafikaga hatua za robo fainali, mbali na kubadilika tu kisoka ila pia huwa wanafika fainali na kunyanyua kombe kabisa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
Nadhani huo msemo hapo mwisho hutumika kuelezea timu kubwa kutolewa na timu ndogo. Ingawaje pia kwenye mazingira ya Al Ahly na Al Bilal pia umefanya kazi kwa namna fulani
 
Hawakubebeka Hawa penat dk za mwisho mechi na mamelod ET wanakosa pia walikosa nafas nyingi za waz
 
Wasudan wakajilaumu wenyewe, tatizo mazingira ya huko juu hawajayazoea😄
 
Hilal alikuwa kundi la kifo,ila alishindwa kumaliz mechi kwao dhidi ya maswandana
 
Walichezea nafasi kwenye game yao na mamelodi,

Yule fala aliekosa penati ndo wamlaumu...
Wajipange tena msimu ujao
 
Back
Top Bottom