BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Ama kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asingeweza kutoboa kuleAma kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
Sahihi, walichezea nafasi siku wanacheza na Mamelod, hadi penality walikosa, nikajisemea kimoyomoyo "Hawa kwisha habari Yao". Kweli leo wamehitimisha safari yao.Asingeweza kutoboa kule
Aliharibu mchezo wake na Mamelod, kule Sudani. Nadhani, hata hao Mamelod walikuwa hawawataki hao Ahly wavuke! Hao jamaa huwa wanabadilika sana hatua inayofuata, baada ya kuvuka makundi kwa shida!Asingeweza kutoboa kule
Kama vile kuna ukweli Fulani hivi,kwahuo mchezo walio cheza al Hilal itoshekusema walienda kukamilisha ratiba tuLigi ya mabingwa ikifika hatua ya robo washindani wanaogombania ubingwa huwa wanajitenga na zile timu zinazowasindikiza wenzao.
Hatua zinazofata wanao shindana serious ni Al ahly, Waydad, Esperence na Raja casablanca. Katika hawa wanne ndipo kuna bingwa atapatikana
Hata mamelodi ni anasindikiza tu wenzake.. hana tofauti na kina simba
Al Ahaly ni sawa na Real Madrid wakishafikaga hatua za robo fainali, mbali na kubadilika tu kisoka ila pia huwa wanafika fainali na kunyanyua kombe kabisa.Ligi ya mabingwa ikifika hatua ya robo washindani wanaogombania ubingwa huwa wanajitenga na zile timu zinazowasindikiza wenzao.
Hatua zinazofata wanao shindana serious ni Al ahly, Waydad, Esperence na Raja casablanca. Katika hawa wanne ndipo kuna bingwa atapatikana
Hata mamelodi ni anasindikiza tu wenzake.. hana tofauti na kina simba
leo percy tau kaupiga mwingi mnoAma kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
leo percy tau kaupiga mwingi mno
Nadhani huo msemo hapo mwisho hutumika kuelezea timu kubwa kutolewa na timu ndogo. Ingawaje pia kwenye mazingira ya Al Ahly na Al Bilal pia umefanya kazi kwa namna fulaniAma kweli mkubwa ni mkubwa tu. Ibenge kalowa 3 bila majibu mbele ya Wamisri. Inauma na inaskitisha ila ndiyo mpira ulivyo muda mwingine una matokeo ya kisulisuli.
Naona kuna watu wanafurahia kufeli kwa X wao