CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,048
Hapa mtawalaumu CAF bure....tatizo ni Karia alichagua upande mbaya wa kujiunga nao. Infantino hakumtaka kabisa Hamad,ila ndo alikuwa rafiki wa Karia.
Rejea ule mkwara wa fedha kutoka CAF kuja kwa TFF ulopigwa na FIFA kwa TFF. Ile ilikuwa ni alert kuwa Karia alikuwa amechagua upande mbaya. Rais wa CAF wa sasa kawekwa na Infantino.......so wanaanza kuwanyoosha kwanza wale walokuwa wanufaika na uongozi wa Hamad.
Mtajiuliza hii inahusinaje na Simba. Ni kweli Simba hausiki,ila nani anaweza kutumika kuwaonesha akina Karia na wenzie kuwa CAF ya sasa haiwahitaji?. Kwavyovyote ujumbe utapita Simba na Namungo coz hawa ndo size ya CAF kwasasa. Itkuja kipindi cha uchaguzi wa TFF....mtashuhudia vitimbi vitakavyofanywa na FIFA na CAF dhidi ya uongozi wa sasa wa TFF.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app