Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu wamo mashabiki wa washiriki wa CAF Champions League tu, sasa wewe unatafuta nini? Usitutoe kwenye mijadala ya CAF CLJina la alilotoa Rage utakuwa unalitumia bila shaka
Hivi Al Hilal nayo ipo kwenye ligi ya mabingwa Afrika.Wapi nimekosea kwani
Barakoa gani tena jamani?Sababu wamegundua mashabiki wa simba hawajielewi na siyo watu wa kuchukua tahadhari! Wanaingia uwanjani bila barakoa, wanabanana kama ndizi, wanaingia uwanjani na mahotpot ya wali! Wanaingia na mapaka kuwatishia wapinzani wao!!
Waendelee tu kuzuiliwa kuingia. Hakuna namna.
Jikite kwenye mada basi!! Mbona mashabiki wa simba mna changamoto sana ya kutoka nje ya kile kinacho jadiliwa?Barakoa gani tena jamani?
Ndiyo ipoHivi Al Hilal nayo ipo kwenye ligi ya mabingwa Afrika.
Genius wa wote ni Luc Eymael, utopolo ni uneducated kama wewe ulivyo, nyani kama wewe ulivyo na mbwa kama wewe ulivyo. Hayo ni maneno ya Luc EymaelKwa nini mnapenda kumfanya Mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aswn Rage aonekane ni genius kwa kuwaita mbumbumbu? 😟
Ko..ni neno gani?Kwa mkapa sio powa wakuu wazaramo wanawaharibu wapinzani kisaikolojia...
Ko CAF lazima ilinde maslahi...
Kundi bado gumu aisee. Tukipiga mtu Leo ni points 10 kibindoni. Na wale waki draw ni points 5 kila mmoja.Uzuri ni kwamba tumebakisha michezo miwili tu (tukiondoa game ya kesho) game ya kesho tukipiga mtu ni automatic tumefuzu robo na tuwaombee wale washenzi kule congo watoke sare tena itapendeza zaidi
Tena washabiki wetu wanaenda kujirundika sehemu moja badala ya kupeana spaceHao wanafata Sheria, lakini hapa kwetu Ukiwaruhusu 1000 wataiingia 5000, figisu nyingi Sana.
Vidimbwi mtateseka sana mwaka huu,hivi unaweza kulinganisha mashabiki wa Simba na hii misukule ya Utopolo? Ndiyo shida yako ukishapiga ndaza ya mdafu unajiropokea tu kama Chakubanga wa mbogambogaSababu wamegundua mashabiki wa simba hawajielewi na siyo watu wa kuchukua tahadhari! Wanaingia uwanjani bila barakoa, wanabanana kama ndizi, wanaingia uwanjani na mahotpot ya wali! Wanaingia na mapaka kuwatishia wapinzani wao!!
Waendelee tu kuzuiliwa kuingia. Hakuna namna.
Kiunganishi mfuKo..ni neno gani?
Kumbuka Mereki wana game nyumban na mafarao hiyo game ahaly kushinda ni mtihan mzito waarabu wale ni mahasimu haswaaa,Kundi bado gumu aisee. Tukipiga mtu Leo ni points 10 kibindoni. Na wale waki draw ni points 5 kila mmoja.
Sasa wale watavuna points 3 kila mmoja kwa El Mereikh watakua na points 8 kila mmoja. Na endapo wale wakiifunga Simba kila mmoja ni points 11, nasi tutabaki na points zetu 10.
Tunaweza kushinda leo tukafungwa na Al Ahly, but Vita ni wa kumchunga sana. Naweza kusema ndio mwenye ticket yetu.
Ok.Ndiyo ipo
Okay.Shirikisho
Hebu nionyeshe wapi nimeandika ligi ya mabingwa afrika???
Wasitupangie! Hapa ni kwetu, hatuna hofu kama wao!! Yaani watu wametoka kariakoo wamejazana kwenye dala dala halafu eti uwaambie wakae mbali mbali uwanjani!Acheni kulialia, hamfuati sheria za kovidi.......kuambiwa waingie elf 30 it minsi, kila baada ya mtu kukaa,anaacha kiti kimoja......ila watu wanajazana sehemu moja tu
hajamaanisha al hilal ya saudi arabia anayochezea BAFETIMBI GOMIS..kamaanisha AL HILAL OMDURMAN ya SUDAN ndo ipo ligi ya mabingwa.Hivi Al Hilal nayo ipo kwenye ligi ya mabingwa Afrika.