Al Hilal na As Vita waruhusiwa kuingiza mashabiki uwanjani

Al Hilal na As Vita waruhusiwa kuingiza mashabiki uwanjani

CAF kichomi sana, wakati ulaya wameanza kuruhusu mashabiki, wao bado wanaishi kijima, wenzao FA Cup mwezi May wataingiza mashabiki 20,000 wao wanawaambia Nkana waingize mashabiki 200, what is this.
 
Sababu wamegundua mashabiki wa simba hawajielewi na siyo watu wa kuchukua tahadhari! Wanaingia uwanjani bila barakoa, wanabanana kama ndizi, wanaingia uwanjani na mahotpot ya wali! Wanaingia na mapaka kuwatishia wapinzani wao!!

Waendelee tu kuzuiliwa kuingia. Hakuna namna.
Barakoa gani tena jamani?
 
Attachments

  • 20210305_135515.jpg
    20210305_135515.jpg
    63 KB · Views: 1
Barakoa gani tena jamani?
Jikite kwenye mada basi!! Mbona mashabiki wa simba mna changamoto sana ya kutoka nje ya kile kinacho jadiliwa?

Kwa nini mnapenda kumfanya Mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aswn Rage aonekane ni genius kwa kuwaita mbumbumbu? 😟
 
Kwa nini mnapenda kumfanya Mwenyekiti wenu mstaafu Ismail Aswn Rage aonekane ni genius kwa kuwaita mbumbumbu? 😟
Genius wa wote ni Luc Eymael, utopolo ni uneducated kama wewe ulivyo, nyani kama wewe ulivyo na mbwa kama wewe ulivyo. Hayo ni maneno ya Luc Eymael
 
Uzuri ni kwamba tumebakisha michezo miwili tu (tukiondoa game ya kesho) game ya kesho tukipiga mtu ni automatic tumefuzu robo na tuwaombee wale washenzi kule congo watoke sare tena itapendeza zaidi
Kundi bado gumu aisee. Tukipiga mtu Leo ni points 10 kibindoni. Na wale waki draw ni points 5 kila mmoja.

Sasa wale watavuna points 3 kila mmoja kwa El Mereikh watakua na points 8 kila mmoja. Na endapo wale wakiifunga Simba kila mmoja ni points 11, nasi tutabaki na points zetu 10.

Tunaweza kushinda leo tukafungwa na Al Ahly, but Vita ni wa kumchunga sana. Naweza kusema ndio mwenye ticket yetu.
 
Sababu wamegundua mashabiki wa simba hawajielewi na siyo watu wa kuchukua tahadhari! Wanaingia uwanjani bila barakoa, wanabanana kama ndizi, wanaingia uwanjani na mahotpot ya wali! Wanaingia na mapaka kuwatishia wapinzani wao!!

Waendelee tu kuzuiliwa kuingia. Hakuna namna.
Vidimbwi mtateseka sana mwaka huu,hivi unaweza kulinganisha mashabiki wa Simba na hii misukule ya Utopolo? Ndiyo shida yako ukishapiga ndaza ya mdafu unajiropokea tu kama Chakubanga wa mbogamboga
View attachment 1726861View attachment 1726862
 
Kundi bado gumu aisee. Tukipiga mtu Leo ni points 10 kibindoni. Na wale waki draw ni points 5 kila mmoja.

Sasa wale watavuna points 3 kila mmoja kwa El Mereikh watakua na points 8 kila mmoja. Na endapo wale wakiifunga Simba kila mmoja ni points 11, nasi tutabaki na points zetu 10.

Tunaweza kushinda leo tukafungwa na Al Ahly, but Vita ni wa kumchunga sana. Naweza kusema ndio mwenye ticket yetu.
Kumbuka Mereki wana game nyumban na mafarao hiyo game ahaly kushinda ni mtihan mzito waarabu wale ni mahasimu haswaaa,
 
Acheni kulialia, hamfuati sheria za kovidi.......kuambiwa waingie elf 30 it minsi, kila baada ya mtu kukaa,anaacha kiti kimoja......ila watu wanajazana sehemu moja tu
Wasitupangie! Hapa ni kwetu, hatuna hofu kama wao!! Yaani watu wametoka kariakoo wamejazana kwenye dala dala halafu eti uwaambie wakae mbali mbali uwanjani!
 
Back
Top Bottom