Al Hilal na As Vita waruhusiwa kuingiza mashabiki uwanjani

Hapa mtawalaumu CAF bure....tatizo ni Karia alichagua upande mbaya wa kujiunga nao. Infantino hakumtaka kabisa Hamad,ila ndo alikuwa rafiki wa Karia.

Rejea ule mkwara wa fedha kutoka CAF kuja kwa TFF ulopigwa na FIFA kwa TFF. Ile ilikuwa ni alert kuwa Karia alikuwa amechagua upande mbaya. Rais wa CAF wa sasa kawekwa na Infantino.......so wanaanza kuwanyoosha kwanza wale walokuwa wanufaika na uongozi wa Hamad.

Mtajiuliza hii inahusinaje na Simba. Ni kweli Simba hausiki,ila nani anaweza kutumika kuwaonesha akina Karia na wenzie kuwa CAF ya sasa haiwahitaji?. Kwavyovyote ujumbe utapita Simba na Namungo coz hawa ndo size ya CAF kwasasa. Itkuja kipindi cha uchaguzi wa TFF....mtashuhudia vitimbi vitakavyofanywa na FIFA na CAF dhidi ya uongozi wa sasa wa TFF.

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Match tuliyotoka droo tungeishinda ingekua poa saana
 
Na leo elmelek wanaweza kaza tukaambulia point 1,

Coach wao kufukuzwa ni somo kwamba wamiliki wanataka matokeo
 
Kumbuka Mereki wana game nyumban na mafarao hiyo game ahaly kushinda ni mtihan mzito waarabu wale ni mahasimu haswaaa,
Match nyepesi kwa al ahaly
Hata simba baada ya kuponea kutofungwa kipindi cha kwanza

Kama sio uchoyo wa Mugalu
Uzembe wa dilunga na chama
Tulikua na nafasi yakupata hata goal 1
 
Mavi yako, haizuii Leo simba kutoa kichapo ..naona Leo yanga mmekua wasomali ghafla pumbafu kabisa
 
Match nyepesi kwa al ahaly
Hata simba baada ya kuponea kutofungwa kipindi cha kwanza

Kama sio uchoyo wa Mugalu
Uzembe wa dilunga na chama
Tulikua na nafasi yakupata hata goal 1
nani ka kwimbia itakuwa simple ?
kwanza bare in your mind kocha mpya hata taka kuonekana yy ni kilaza, hawa watu wana uhasimu wa siarabu then kumbuka ereki wameruhusiwa kuingiza mashabiki pale kwao so hapata tosha pale katoum

mfano leo as Vita wana wacheza waarabu mchana saa nane za pale congo jua kali balaa so tegemea vitu tofauti labda waarabu waamue kufa au kupona
 
Mavi yako, haizuii Leo simba kutoa kichapo ..naona Leo yanga mmekua wasomali ghafla pumbafu kabisa
Tulia wewe mbumbumbu! Ujinga wenu ndiyo ulio wasababisha mkose hata hicho kidogo mlicho stahili kupata! Mnaambiwa mchukue tahadhali, nyinyi mnaingia uwanjani na mapaka, mahotpot ya wali na kula bila kunawa! Mnabanana kama ndizi!!

Halafu unakuja kutukana! Unadhani haya matusi yako yatawafanya hao CAF wawaonee huruma? Au ndiyo mnazidi kuithibitishia dunia ya kwamba nyinyi ni mbumbumbu? Maana hamtaki kuambiwa ukweli!
 
Al hilal imetoka wapi tena, kama hujui kuyatamka omba msaada tukusaidie


Hata Al ahly huijui na inatoka nchi gani!!!! Duh
 
Al hilal imetoka wapi tena, kama hujui kuyatamka omba msaada tukusaidie


Hata Al ahly huijui na inatoka nchi gani!!!! Duh
Wewe unayemkosoa ndio unaonekana haujui timu umekariri. Kasema timu ya Al hilal ya Sudan. Au haujui kama Sudan kuna timu inaitwa Al hilal? ipo kundi B pamoja na Tp Mazembe na Mamelodi
 
Wewe unayemkosoa ndio unaonekana haujui timu umekariri. Kasema timu ya Al hilal ya Sudan. Au haujui kama Sudan kuna timu inaitwa Al hilal? ipo kundi B pamoja na Tp Mazembe na Mamelodi


Mimi ni mtu wa soka bwana, hizo club nnazijua..mleta mada mwanzo alikosea naona akaedit upesi baada ya kurekebishwa ama kukumbushwa, some times binadamu tunapitiwa mzee.



πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…