Al Hilal wapigika kama ngoma na timu B ya Tp Mazembe

Al Hilal wapigika kama ngoma na timu B ya Tp Mazembe

walichofanya Al hilal kinaitwa mtego,kuna mtu ametegwa hapo muda si muda atanasa kwenye mikono ya hawa waarabu.
 
Utopolo msijipe matumaini feki. Kujipima na tp mazembe B lubumbashi siyo sawa na kucheza vile vijitimu vya mchangani Kigamboni
 
wachezaji 9 wa don bosco walivalishwa jezi za mazembe, don bosco ipo ligi kuu ya congo siyo mazembe b..inamilikiwa na mtoto wa moise katumbi,kocha wa mazembe kaogopa wachezaji kuumizwa maana wanne washafungiwa na caf kutocheza mechi 3 majuzi tu
 
Vipi upande wa Al Hilal je wao waliingiza timu kamili ama nao walifanya kama walivyofanya Mazembe?
 
Jana Al hilal wamepigwa 3 : 0 na timu ya watoto wa academy ya Tp Mazembe.

Ikumbukwe tu hawa Al Hilal ndiyo waliwapiga makolo kimoja cha nguruwe.
Subirini siku hiyo ndo mtatambua TP zembe B na Yanga Uto nani ana uwezo mkubwa uwanjani?

Mmebaki kuokoteza vitaarifa vya kukifariji na msimu huu mtajifariji sana vyura nyie
 
Back
Top Bottom