Al Jazeera hawaoni mauaji ya Ukraine wanaona Gaza tu?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel

Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
 
Al jazeera ni ya mwarabu alie muislam alie na itikadi kali alie na asili ya kumchukia mkristo na muyahudi alie na asili ya kujiona yeye ndio wa uhakika zaidi ya itikadi nyingine.

Jibu ndio hilo. Siku njema.
 
Yaani mauaji ya watoto na wanawake unataka yatangazwe sawa na mauaji ya wanajeshi kwa wanajeshi,JESHI LINALOUA WATOTO NA WANAWAKE UNATAKA KULILINGANISHA NA JESHI LINALOUA WANAJESHI NA MAMRUKI WA JESHI!? KICHWANI MWAKO KUNA SHIDA.
 
Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel

Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
Akili zingine jamani duh!Jiuleze mkuu very simple questions utapata majibu.Aljazeera wanapiga kelele kuhusu massacre ya Palestinians kwa kuwa they are being targeted in their own country.That is a textbook example of ethic cleansing.On the other hand Ukraine wanaokufa ni mercenaries na wanajeshi wa mainly US and NATO countries who are there for no reason at all except to annihilate Russia.Waondoke Ukraine wanafanya nini?It is their evil adventurism that is costing them,waondoke.
 
Hii aljazeera ya hovyo sana

USSR
 
Yaani mauaji ya watoto na wanawake unataka yatangazwe sawa na mauaji ya wanajeshi kwa wanajeshi,JESHI LINALOUA WATOTO NA WANAWAKE UNATAKA KULILINGANISHA NA JESHI LINALOUA WANAJESHI NA MAMRUKI WA JESHI!? KICHWANI MWAKO KUNA SHIDA.
Kwa hiyo uko Gaza wanakufa wanawake na watoto tu?!
Akili imejaa tope
 
Akili zingine jamani duh!Jiuleze mkuu very simple questions utapata majibu.Aljazeera wanapiga kelele kuhusu massacre ya Palestinians kwa kuwa they are being targeted in their own country.That is a textbook example of ethic cleansing.On the other hand Ukraine wanaokufa ni mercenaries na wanajeshi wa mainly US and NATO countries who are there for no reason at all except to annihilate Russia.Waondoke Ukraine wanafanya nini?It is their evil adventurism that is costing them,waondoke.
Hakuna Massacre, hizo ni propaganda za magaidi na channel yao ya aljazeera
 
Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel

Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
Hii tv ya aljazeera ilifungiwa na israel kwa sababu ina udini sana inamekuwa kama mdomu wa magaidi
 
Yaani mauaji ya watoto na wanawake unataka yatangazwe sawa na mauaji ya wanajeshi kwa wanajeshi,JESHI LINALOUA WATOTO NA WANAWAKE UNATAKA KULILINGANISHA NA JESHI LINALOUA WANAJESHI NA MAMRUKI WA JESHI!? KICHWANI MWAKO KUNA SHIDA.
Hii gaza pekee yake wanakaa wanawake na watoto tu mbona hili neno kama wafia dini wanalitumia sana kuwatafutia huruma wapalestina
 
Hakuna Massacre, hizo ni propaganda za magaidi na channel yao ya aljazeera
Wala sio propaganda.I have an inside story proven by many Independent News Sources proving that a massacre has indeed occured.As much as I don't very much trust Aljazeera,I must admit that this story is true.Ni kweli kumetokea massacre Ukraine carried out by Russian forces ya mercenaries and top US/NATO/European Ukraine advisers.
 
Nazungumzia Gaza sio ukraine
 
Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel

Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
Nani anakuambia hawatoi habari za Ukraine
 
Akili zingine jamani duh!Jiuleze mkuu very simple questions utapata majibu.Aljazeera wanapiga kelele kuhusu massacre ya Palestinians kwa kuwa they are being targeted in their own country.That is a textbook example of ethic cleansing.On the other hand Ukraine wanaokufa ni mercenaries na wanajeshi wa mainly US and NATO countries who are there for no reason at all except to annihilate Russia.Waondoke Ukraine wanafanya nini?It is their evil adventurism that is costing them,waondoke.
Umemaliza.
 
Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel

Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
Siyo wewe pekee, alafu wanakufa watoto tu.
Gaza ni makafiri, kwahiyo Al Jazeera wapo sahihi.
 
Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel

Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
Pro Russia elewa kuwa vita haijawahi kuwa na habari za kweli. Siku zote kwenye vita kunakuwa kitengo cha propaganda kwa ajili ya kuwaweka wanajeshi na wananchi sawa. Hii ni kwa pande zote
 
Back
Top Bottom