mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 837
- 1,482
Maeekani na kundi lake la kigaidi NATO wameshavamia nchi ngapi?wajinga mpo wengi sana , ukiitoa Mongolia na North Korea je nchi gani jiran na urusi haijavamiwa na Urusi ?au haijapigana na urusi ?