Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Tuwaulize wauaji kwanini wanalenga raia tu hasa watoto na wanawake.Hii gaza pekee yake wanakaa wanawake na watoto tu mbona hili neno kama wafia dini wanalitumia sana kuwatafutia huruma wapalestina
Propaganda za aljazeera na magaidi wenzao Hamas. Ila kiuhalisia magaidi wameisha hapo GazaTuwaulize wauaji kwanini wanalenga raia tu hasa watoto na wanawake.
Hao Al Jazeera ni mouth piece ya Muslim brotherhood. Saudia ndiyo maana waliwawekea Blockade Qatar. Na sasa Saudia na UAE wameazimia kutokomeza hiyo itikadi yao kali ya kiislamuAl jazeera ni ya mwarabu alie muislam alie na itikadi kali alie na asili ya kumchukia mkristo na muyahudi alie na asili ya kujiona yeye ndio wa uhakika zaidi ya itikadi nyingine.
Jibu ndio hilo. Siku njema.
Magaidi ni Israel na marekani.funua bichwa hiloPropaganda za aljazeera na magaidi wenzao Hamas. Ila kiuhalisia magaidi wameisha hapo Gaza
sasa si wanajeshi wako vitani, ingekuwa raia hiyo sasa ndio habari... by the way hata ukraine vyombo vya west vinaicover zaidi so acha aljazeera ideal na gaza maana habari ziko limited kuleNilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel
Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
Al Jazeera ni mali ya Qatar hivyo lazima ijikite kwenye Arab world.Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel
Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
Sikiliza wewe muslim revert! Waarabu wenyewe wamestuka na kugundua kuwa Hamas ni magaidi wa islam siasa kali ile ya political islam ya Muslim BrotherhoodMagaidi ni Israel na marekani.funua bichwa hilo
Magaidi ni Israel na marekani.funua bichwa hilo
Usidanganyike kijana. Gaidi namba Moja hapa duniani ni marekani akifuatiwa na machawa wake wa Israel, NATO na upuuzi mwengine..Sikiliza wewe muslim revert! Waarabu wenyewe wamestuka na kugundua kuwa Hamas ni magaidi wa islam siasa kali ile ya political islam ya Muslim Brotherhood
View: https://x.com/ImtiazMadmood/status/1832014893932741088
Dunia ipo kwenye vita ya kupambana dhidi ya ugaidi wa marekani na kampuni yake. Na hii vita Dunia itashinda muda umefika
Ungejua kilicho nyuma ya pazia ktk hiyo vita ya Russia na ukraine, ungemshukuru sana Putin na kumwombea maisha marefuNilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel
Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
Wajinga sana Kambi ilipigwa Nzima nzima kule Poltav hawasemi mashoga wanalia sanaNilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel
Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
Hivi wewe unahakika hujawahi kuwa kichaa siku za nyumaPropaganda za aljazeera na magaidi wenzao Hamas. Ila kiuhalisia magaidi wameisha hapo Gaza
CNN,BBC, FRANCE 24,CGTN unaweza kunitajia chombo kipi hapo kimetangaza hivyo vifo!??Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel
Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa.
Israel imeifungia Al-Jazeera kwasababu inasema ukweli.Hii tv ya aljazeera ilifungiwa na israel kwa sababu ina udini sana inamekuwa kama mdomu wa magaidi
ila waislam akil zenu mnazijua wenyewYaani mauaji ya watoto na wanawake unataka yatangazwe sawa na mauaji ya wanajeshi kwa wanajeshi,JESHI LINALOUA WATOTO NA WANAWAKE UNATAKA KULILINGANISHA NA JESHI LINALOUA WANAJESHI NA MAMRUKI WA JESHI!? KICHWANI MWAKO KUNA SHIDA.
wajinga mpo wengi sana , ukiitoa Mongolia na North Korea je nchi gani jiran na urusi haijavamiwa na Urusi ?au haijapigana na urusi ?Ungejua kilicho nyuma ya pazia ktk hiyo vita ya Russia na ukraine, ungemshukuru sana Putin na kumwombea maisha marefu