M mangichogo JF-Expert Member Joined Oct 30, 2023 Posts 837 Reaction score 1,482 Sep 10, 2024 #41 4by94 said: wajinga mpo wengi sana , ukiitoa Mongolia na North Korea je nchi gani jiran na urusi haijavamiwa na Urusi ?au haijapigana na urusi ? Click to expand... Maeekani na kundi lake la kigaidi NATO wameshavamia nchi ngapi?
4by94 said: wajinga mpo wengi sana , ukiitoa Mongolia na North Korea je nchi gani jiran na urusi haijavamiwa na Urusi ?au haijapigana na urusi ? Click to expand... Maeekani na kundi lake la kigaidi NATO wameshavamia nchi ngapi?
N Nsarigoko JF-Expert Member Joined May 24, 2023 Posts 503 Reaction score 655 Sep 10, 2024 #42 Pdidy said: Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa. Click to expand... Waislamu wenzao kwanza
Pdidy said: Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa. Click to expand... Waislamu wenzao kwanza
avitus john Member Joined Aug 11, 2024 Posts 67 Reaction score 102 Sep 10, 2024 #43 Hao wanasubili kuoa mabikira mbinguni
DesertStorm JF-Expert Member Joined Nov 22, 2015 Posts 3,131 Reaction score 2,537 Sep 10, 2024 #44 Pdidy said: Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa. Click to expand... Tafadhali usiwapangie cha kufanya, aljazeera sio cnn, bbc wala tbc.
Pdidy said: Nilipenda sanaa hii channel. Sikuhizi sitaki hata kuwasikia. Kila ukifingua Gaza, Gaza, Israel Hivi wanajeshi 600 plus Ukraine wamedanja majuzi awakusikia ama ndio masharti na vigezo kuzingatiwaa. Click to expand... Tafadhali usiwapangie cha kufanya, aljazeera sio cnn, bbc wala tbc.
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,144 Reaction score 6,942 Sep 10, 2024 #45 CNN and Fox news hawaoni mauji ya wapalestina wanaona ya Ukraine tu