Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
aisee kumbe?dini yoyoyte tu ikizidi unakuwa tahira
FATA YA ASILI YAKO HATA HAYO YA WAARABU SIO YAKOMiaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu.
But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa. Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea kustawi na wanatuheshimu maana tunakimbilia nchi zao kuomba hifadhi na kutaka kuishi huko kuliko China. But hawa wazungu hawatuoni sisi ni kama ugonjwa yaani Dini hii ya Allah na sisi na majini. Wanatuona ni kama kansa tu.
View attachment 2944391
Ni sahihi nawaunga mkono kwa asilimia 100.Kwamba muhamadan ni mento case?
Kwani mabikra Ni watamu kuliko Hawa wenye tracko huku mtaani?Wako sahihi, we huwezi uka amini vitu vinavyo kufanya uwa ue wenzio kisa mabikra 70 usio wajua 🤒
Kuna vingine vinaaminika na ni applicable na vinasaidia kushape jamii kwa namna moja ama nyingine.Hizi dini Zina kufanya Uzi amini zenyewe, badala ya kuji amini wewe.
Dini zime jaa matisho matisho tu, Mara huyu kafiri, Mara huyu ata chomwa moto aisee
Usitumie neno SISI😄Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu.
But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa.
Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea kustawi na wanatuheshimu maana tunakimbilia nchi zao kuomba hifadhi na kutaka kuishi huko kuliko China.
But hawa wazungu hawatuoni sisi ni kama ugonjwa yaani Dini hii ya Allah na sisi na majini. Wanatuona ni kama kansa tu.
View attachment 2944391
Partially they are correctMiaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu.
But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa.
Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea kustawi na wanatuheshimu maana tunakimbilia nchi zao kuomba hifadhi na kutaka kuishi huko kuliko China.
But hawa wazungu hawatuoni sisi ni kama ugonjwa yaani Dini hii ya Allah na sisi na majini. Wanatuona ni kama kansa tu.
View attachment 2944391
🤔🤔🤔🤔🤔Hizi dini Zina kufanya Uzi amini zenyewe, badala ya kuji amini wewe.
Dini zime jaa matisho matisho tu, Mara huyu kafiri, Mara huyu ata chomwa moto aisee