Al Jazeera: Hivi ndivyo Wachina wanavyotuona sisi. Nimesikitika na kuumizwa sana na Jambo hili

.

Ila kuna vingine inshitajika imani kali kuviamini, kuna jamaa aliniambia eti ule upinde wavua ni jini gani sijui shetani gani kapewa adhabu ya kutoa ulimi nje, na ile kutoa ulimi nje ni kutaka maji maana kawekwa sehemu kame sijui juani sijui wapi.

Daah nikawaza hivi huyu kaaminije hii kitu.
Vishu acha basi 😂😂, hayo maji yana patikana vipi angani🤣
 
kuna mwamba humu alileta uzi wake akiwasifia hawa majamaa na kwa kusema wao wanademocrasia ya kweli sio kama wa magharibi kwamba china kuna uhuru wa kuabudu huwez kufananisha na marekani canada au UK nikamuuliza unajua hao mapimbi wanavunja misikiti wanajenga public toilets?
nikamuuliza unawajua waislam wa unawajua waislam wa uighurs wanachotendewa hakuwahi kunijibu yule mwambo
Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu.

But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa.

Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea kustawi na wanatuheshimu maana tunakimbilia nchi zao kuomba hifadhi na kutaka kuishi huko kuliko China.

But hawa wazungu hawatuoni sisi ni kama ugonjwa yaani Dini hii ya Allah na sisi na majini. Wanatuona ni kama kansa tu.

View attachment 2944391
 
Elimu wengi wetu sisi hatuna Elimu na tunaendeshwa na mihemko tu. Najua hili tatizo ni kubwa sana kwetu. Huwa tukiambiwa kitu mabarazani tunabeba hivyo hivyo na kuanza shadadia. Yaani tuna kariri kila kitu maishani. So unakuta hatuelewi anything
 
Wewe sio muislamu ni kafiri 🤣🤣yaani huamini kweny uislamu ,angalia post zako unajifanya mamluki kama ISIS hauna uislamu kaa kwa kutulia
Yes mimi ni KAFIR. na wewe ni kakafir kadogo dogo.
 
Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu.

But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa.

Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea kustawi na wanatuheshimu maana tunakimbilia nchi zao kuomba hifadhi na kutaka kuishi huko kuliko China.

But hawa wazungu hawatuoni sisi ni kama ugonjwa yaani Dini hii ya Allah na sisi na majini. Wanatuona ni kama kansa tu.

View attachment 2944391

Hata mimi nawaona hivyo, achana na wa China
 
Kuna vingine vinaaminika na ni applicable na vinasaidia kushape jamii kwa namna moja ama nyingine.

Ila kuna vingine inshitajika imani kali kuviamini, kuna jamaa aliniambia eti ule upinde wavua ni jini gani sijui shetani gani kapewa adhabu ya kutoa ulimi nje, na ile kutoa ulimi nje ni kutaka maji maana kawekwa sehemu kame sijui juani sijui wapi.

Daah nikawaza hivi huyu kaaminije hii kitu.
Hii si Norse mythology ya vikings jamani
 
Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu.

But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa.

Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea kustawi na wanatuheshimu maana tunakimbilia nchi zao kuomba hifadhi na kutaka kuishi huko kuliko China.

But hawa wazungu hawatuoni sisi ni kama ugonjwa yaani Dini hii ya Allah na sisi na majini. Wanatuona ni kama kansa tu.

View attachment 2944391
Nyinyi na nani??
Alokwambia watanzania wote ni waislam nani?
 
Ndio ISIS nyie mnajifanya waislamu kumbe washenzi matapeli 😀 😀 😀 ..Tapeli mkubwa unajifanya muislamu
ISIS ni Waislamu kuliko wewe choka mbaya. ISIS wanapigania Maslah ya Waislamu kama mtume tu alivyokuwa anafanya miaka ile
 
Back
Top Bottom