Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Vishu acha basi 😂😂, hayo maji yana patikana vipi angani🤣.
Ila kuna vingine inshitajika imani kali kuviamini, kuna jamaa aliniambia eti ule upinde wavua ni jini gani sijui shetani gani kapewa adhabu ya kutoa ulimi nje, na ile kutoa ulimi nje ni kutaka maji maana kawekwa sehemu kame sijui juani sijui wapi.
Daah nikawaza hivi huyu kaaminije hii kitu.
Kama inakuuma chomoa. Wewe hunibadilishi lolote.kwanza wewe sio muislamu, usitumie kejeli kwa kujifanya muislamu hata siku moja
Umeelewa ulichoandika? Nimetumia na nitaendelea kutumia.Usitumie neno SISI😄
Ni nyie
Wewe umethibitisha hoja ya wachinakwanza wewe sio muislamu, usitumie kejeli kwa kujifanya muislamu hata siku moja
🤣😄😂Naona Tanzania ni ya kwenda ICU kwa huu ugojwa kweli kabisa viongozi wenye elimu kubwa tu wanawake maslai ya dini fulani mbele huu ni ugojwa mkubwa..
Kaka hata mimi sielewi, nilipombishia akasema niishie kusoma pale nilipokomea, nadhani huko wanaambiwa mtu wa elimu fulani anakua brainwashed asiamini hizo imani.Vishu acha basi 😂😂, hayo maji yana patikana vipi angani🤣
Imani ni shambulio la akilidini yoyoyte tu ikizidi unakuwa tahira
Waislam ni warab syo ww yani ukienda Saudia unaonekana kenge fulani tukwanza wewe sio muislamu, usitumie kejeli kwa kujifanya muislamu hata siku moja
Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu.
But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa.
Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea kustawi na wanatuheshimu maana tunakimbilia nchi zao kuomba hifadhi na kutaka kuishi huko kuliko China.
But hawa wazungu hawatuoni sisi ni kama ugonjwa yaani Dini hii ya Allah na sisi na majini. Wanatuona ni kama kansa tu.
View attachment 2944391
Elimu wengi wetu sisi hatuna Elimu na tunaendeshwa na mihemko tu. Najua hili tatizo ni kubwa sana kwetu. Huwa tukiambiwa kitu mabarazani tunabeba hivyo hivyo na kuanza shadadia. Yaani tuna kariri kila kitu maishani. So unakuta hatuelewi anythingkuna mwamba humu alileta uzi wake akiwasifia hawa majamaa na kwa kusema wao wanademocrasia ya kweli sio kama wa magharibi kwamba china kuna uhuru wa kuabudu huwez kufananisha na marekani canada au UK nikamuuliza unajua hao mapimbi wanavunja misikiti wanajenga public toilets?
nikamuuliza unawajua waislam wa unawajua waislam wa uighurs wanachotendewa hakuwahi kunijibu yule mwambo
Unalazimisha kaangalie waarabu ni asilimia ngapi ya waislamu wote duniani🤣🤣🤣.Waislam ni warab syo ww yani ukienda Saudia unaonekana kenge fulani tu
Kaangalie walichoma waislamWewe umethibitisha hoja ya wachina
Wewe sio muislamu ni kafiri 🤣🤣yaani huamini kweny uislamu ,angalia post zako unajifanya mamluki kama ISIS hauna uislamu kaa kwa kutuliaKama inakuuma chomoa. Wewe hunibadilishi lolote.
Yes mimi ni KAFIR. na wewe ni kakafir kadogo dogo.Wewe sio muislamu ni kafiri 🤣🤣yaani huamini kweny uislamu ,angalia post zako unajifanya mamluki kama ISIS hauna uislamu kaa kwa kutulia
Ndio ISIS nyie mnajifanya waislamu kumbe washenzi matapeli 😀 😀 😀 ..Tapeli mkubwa unajifanya muislamuYes mimi ni KAFIR. na wewe ni kakafir kadogo dogo.
Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu.
But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa.
Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea kustawi na wanatuheshimu maana tunakimbilia nchi zao kuomba hifadhi na kutaka kuishi huko kuliko China.
But hawa wazungu hawatuoni sisi ni kama ugonjwa yaani Dini hii ya Allah na sisi na majini. Wanatuona ni kama kansa tu.
View attachment 2944391
Hii si Norse mythology ya vikings jamaniKuna vingine vinaaminika na ni applicable na vinasaidia kushape jamii kwa namna moja ama nyingine.
Ila kuna vingine inshitajika imani kali kuviamini, kuna jamaa aliniambia eti ule upinde wavua ni jini gani sijui shetani gani kapewa adhabu ya kutoa ulimi nje, na ile kutoa ulimi nje ni kutaka maji maana kawekwa sehemu kame sijui juani sijui wapi.
Daah nikawaza hivi huyu kaaminije hii kitu.
Nyinyi na nani??Miaka ya hivi karibuni tumekuwa upande sana wa China dhidi ya Wazungu. Kila sehemu tumesifia na kumtetea Mchina tukiwaponda Wazungu.
But kumbe wao wanatuona sisi ni hamnazo? Hatuna kitu? Weupe kichwani? Ni ugonjwa wa kiakili? Si sawa.
Miaka yote tunawaita wazungu makafir na wanaendelea kustawi na wanatuheshimu maana tunakimbilia nchi zao kuomba hifadhi na kutaka kuishi huko kuliko China.
But hawa wazungu hawatuoni sisi ni kama ugonjwa yaani Dini hii ya Allah na sisi na majini. Wanatuona ni kama kansa tu.
View attachment 2944391
ISIS ni Waislamu kuliko wewe choka mbaya. ISIS wanapigania Maslah ya Waislamu kama mtume tu alivyokuwa anafanya miaka ileNdio ISIS nyie mnajifanya waislamu kumbe washenzi matapeli 😀 😀 😀 ..Tapeli mkubwa unajifanya muislamu
Sisi ni sisi na wewe ni wewe.Nyinyi na nani??
Alokwambia watanzania wote ni waislam nani?