Al Jazeera: Hivi ndivyo Wachina wanavyotuona sisi. Nimesikitika na kuumizwa sana na Jambo hili

Sasa mbona umeandik wachina wanavotuona sisi, na si wanavokuona wewe
 
Alikuona onaje vile 😄😄😄??
 
Wachina wako straight to the point hata ukristo unatuchelewesha sana waafrica kwenye maendeleo... Dini zinatufanya tubweteke tukiamini hatuhitaji juhudi tukimwomba tu Mungu atatupa, Rubbish.
 
Je ni uongo?
 
Wachina wako straight to the point hata ukristo unatuchelewesha sana waafrica kwenye maendeleo... Dini zinatufanya tubweteke tukiamini hatuhitaji juhudi tukimwomba tu Mungu atatupa, Rubbish.
Kweli eeeeeeh.... Sawa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…