Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,400
- 2,010
Ofcourse mateka walichukuliwa, lipo wazi. Ila katika operesheni ya kuwakomboa. Wakagundua humo humo wanaweza lipa kisadi, na kutimiza agenda zao zingine
Hamas wangetakiwa wafikirie mara mbili outcomes kabla ya lile tukio. IDF walikwua wanasubiri fursa, na ikatokea
Mie siku zote nasema humu Israel inadai inapigana kurejesha mateka ila hawa jamaa wanatumia sababu hii kuendeleza operation zao.. hawafany jitihada yoyote ya kuwapata mateka.. wanataka kuikalia Gaza na Hamas wamewapa Israel gaza on a silver plate
Miaka ya nyuma walikuwa fasta wanabadilishana wafungwa Sasa hivi wakibadilishana na wazee na watoto tu baada ya hapo hawana mpango huo
Kuna Myahudi mmoja alisema serikali ya Israel iliacha makusudi Hamas wavanie Israel.. Eti watu wamevamia na pickup kadhaa na pikipiki wakatamba masaaa kibao hakuna response ya jeshi.