Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Al Jazeera nao wameanza kutumika? Nashindwa waelewa. Mbona hawa report vizuri hizi taarifa za Mayahudi? Hapa ni kama wanaelezea kwa furaha kupigwa kwa Maarabu.
Ritz Papa anasemaje leo?
Irani inachukua muda mrefu kujipanga walishapandisha bendera Nyekundu wanasubiria nini sasa? Ustaadhi Kintinku atatuelezea mchana wa leo Ritz tukutane pale nje baada ya ibada.
Ritz Papa anasemaje leo?
Irani inachukua muda mrefu kujipanga walishapandisha bendera Nyekundu wanasubiria nini sasa? Ustaadhi Kintinku atatuelezea mchana wa leo Ritz tukutane pale nje baada ya ibada.